johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!Habari Wakuu,
Leo 08/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 08/2022
Baki nami.
Updates:
Tuna shukuru, ila nashauri leo Swila aje na bakuli la kujisaidia. Asiruhusiwe kwenda chooni kudesa.Asante Sana mkuu The Sheriff . Mungu akubariki sana kwa kujitoa kutuhabarisha yatakayojiri Mahakamani.
kwakweli laiti kama kesi hii ingefutwa kama walivyo kuwa wanashinikiza wafuasi wa Mbowe basi tusinge jua mipango miovu ya kigaidi dhidi ya nchi na viongozi iliyo kuwa inapangwa na huyu mbowe na genge lake la kihlifu.
tunavishukuru sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa umakini mkubwa ktk kulinda amani na utulivu wa nchi.
Urio alisema simu hazikua na line, swila anasisitiza simu zote zilikua na line zake, tuchukue ya nani tuaache la nani? Hapa jaji anakazi kubwa kumbuka ushahidi wao mkubwa ni sms kwenye simu hizo......ebu tusubiri kama haki itatendeka kweliWale magaidi wa ukweli waliokuwepo maeneo ya Rufiji au Tanga kule, uliona hivyo vyombo vya ulinzi kuwakamata?
lengo la mboe lilikuwa ni kununua mtu yeyote yule ambaye alikuwa tayari kufuata maelekezo yake ambayo ni, kuvuruga amani na utulivu wa nchi.Wale magaidi wa ukweli waliokuwepo maeneo ya Rufiji au Tanga kule, uliona hivyo vyombo vya ulinzi kuwakamata?
Daah! Penye wengi, hapaharibiki kitu. Unakijua hiki, lakini haukijui hiki. Hukijui hiki, mwenzio anakijua hicho!Mwandishi wa leo arekebishe kidogo hapo kwenye IMCI, isomeke IMSI (International Mobile Subscriber Identity)
wako wapi leo bado wapo? na mbowe anahusika pia hukoWale magaidi wa ukweli waliokuwepo maeneo ya Rufiji au Tanga kule, uliona hivyo vyombo vya ulinzi kuwakamata?
Mmemtosa Sabaya sasa analia peke yake Gerezani Kisongo! [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Mashahidi wenu wa michongo kwa Mh. Mbowe wanaishia kujikojolea kizimbani! [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]wako wapi leo bado wapo? na mbowe anahusika pia huko
HahahahaNdugu shahidi sijui kama leo alikumbuka kuvaa diaper anavyotoka nyumbani
Kabisa. Swila ni kushinda chooni tu ndiyo anachofanya kusogeza muda. Wamrudishe na kesho kibatara ndiyo amalize nayeHakikisheni washroom Kuna maji ya kutosha. Shahidi anaweza kushikwa na tumbo la dharura muda wowote.
lengo la mboe lilikuwa ni kununua mtu yeyote yule ambaye alikuwa tayari kufuata maelekezo yake ambayo ni, kuvuruga amani na utulivu wa nchi.
alikuwa anakusanya vijana wa kihuni na wasaliti na kuwajasirisha kutenda vitendo vya kigaidi/kihalifu dhidi ya nchi yao.
mboe alikuwa na aliunda genge la kigaidi kwa kuwatumia hao makomandoo na wahalifu wengine mbalimbali kama vile, majambazi, wauza madawa ya kulevya, wavuta bangi n.k.
huyo jamaa hakuwa mwanasiasa bali muhalifu mbobezi aliye jificha kwenye uongozi wa chama cha siasa.
ni mtu ambaye hakujali amani na utulivu wa nchi....ni msaliti aliye isaliti nchi yake kwa tamaa na uchu wake wa kijinga.
Anaenda kusoma alichokaririshwa na mawakili wa serikali.Tuna shukuru, ila nashauri leo Swila aje na bakuli la kujisaidia. Asiruhusiwe kwenda chooni kudesa.
wako wapi leo bado wapo? na mbowe anahusika pia huko