lengo la mboe lilikuwa ni kununua mtu yeyote yule ambaye alikuwa tayari kufuata maelekezo yake ambayo ni, kuvuruga amani na utulivu wa nchi.
alikuwa anakusanya vijana wa kihuni na wasaliti na kuwajasirisha kutenda vitendo vya kigaidi/kihalifu dhidi ya nchi yao.
mboe alikuwa na aliunda genge la kigaidi kwa kuwatumia hao makomandoo na wahalifu wengine mbalimbali kama vile, majambazi, wauza madawa ya kulevya, wavuta bangi n.k.
huyo jamaa hakuwa mwanasiasa bali muhalifu mbobezi aliye jificha kwenye uongozi wa chama cha siasa.
ni mtu ambaye hakujali amani na utulivu wa nchi....ni msaliti aliye isaliti nchi yake kwa tamaa na uchu wake wa kijinga.