Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake Februari 9, 2022

kwakweli laiti kama kesi hii ingefutwa kama walivyo kuwa wanashinikiza wafuasi wa Mbowe basi tusinge jua mipango miovu ya kigaidi dhidi ya nchi na viongozi iliyo kuwa inapangwa na huyu mbowe na genge lake la kihlifu.
tunavishukuru sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwa umakini mkubwa ktk kulinda amani na utulivu wa nchi.
 
Wale magaidi wa ukweli waliokuwepo maeneo ya Rufiji au Tanga kule, uliona hivyo vyombo vya ulinzi kuwakamata?

%3A_Leo_Mahakama_imejaa_sana_PaKukaa_ni_shida%0A%0A%3A_Mawakili_wa_pande_zote_mbili_wameshaing...jpg
 
Wale magaidi wa ukweli waliokuwepo maeneo ya Rufiji au Tanga kule, uliona hivyo vyombo vya ulinzi kuwakamata?
Urio alisema simu hazikua na line, swila anasisitiza simu zote zilikua na line zake, tuchukue ya nani tuaache la nani? Hapa jaji anakazi kubwa kumbuka ushahidi wao mkubwa ni sms kwenye simu hizo......ebu tusubiri kama haki itatendeka kweli
 
Wale magaidi wa ukweli waliokuwepo maeneo ya Rufiji au Tanga kule, uliona hivyo vyombo vya ulinzi kuwakamata?
lengo la mboe lilikuwa ni kununua mtu yeyote yule ambaye alikuwa tayari kufuata maelekezo yake ambayo ni, kuvuruga amani na utulivu wa nchi.

alikuwa anakusanya vijana wa kihuni na wasaliti na kuwajasirisha kutenda vitendo vya kigaidi/kihalifu dhidi ya nchi yao.

mboe alikuwa na aliunda genge la kigaidi kwa kuwatumia hao makomandoo na wahalifu wengine mbalimbali kama vile, majambazi, wauza madawa ya kulevya, wavuta bangi n.k.

huyo jamaa hakuwa mwanasiasa bali muhalifu mbobezi aliye jificha kwenye uongozi wa chama cha siasa.
ni mtu ambaye hakujali amani na utulivu wa nchi....ni msaliti aliye isaliti nchi yake kwa tamaa na uchu wake wa kijinga.
 
Weka evidence wewe upo nje ya ulingo hata uchunguzi hujui unaleta uharo wako hapa au umetumwa? Acha wajikaange wazidi kujiaibisha
 
Hakikisheni washroom Kuna maji ya kutosha. Shahidi anaweza kushikwa na tumbo la dharura muda wowote.
Kabisa. Swila ni kushinda chooni tu ndiyo anachofanya kusogeza muda. Wamrudishe na kesho kibatara ndiyo amalize naye
 
Yaani makomandoo watano tu ndio wavuruge amani ya nchi mkuu?

Back
Top Bottom