Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Swila aomba ahirisho kuwa hajisikii vizuri; kuendelea na ushahidi 10/02/2022

Kibatala: Hivi una Elimu gani

Shahidi: Kidato cha 6

Kibatala: Sekondari gani

Shahidi: Moshi

Kibatala: Ulipata Division ngapi

Shahidi: Division 3 Point 13

Kibatala: ulifaulu Kwenda Chuo

Shahidi: Hapana, CCP Moshi

Kibatala: Ok! Ndiyo Walikuchagua sababu ya uwezo huko
Dah aiseee Bwn Inspector ananyong'onyeshwa!!!
 
We yaelekea wakala wa Lusifa, yaani kionggozi wa Maibilisi
wakala wa shetani ni yule anayeweza kushabikia nchi kuvurugika kwaajili ya mtu mmoja mbowe ni gadi wala siyo mdai katiba mpya hivi kama unaakili tu hata kidogo kama unayo lakini kweli kesi ushahidi wa muda mrefu yeye kadai katiba hata miezi miwili haijaisha leo unasema kakamatwa kwaajili ya katiba mpya? tumieni akili siyo mnatumia vijambi kufikiri
 
unajuwa sheria ukiwa unaijuwa sana huwezi kushindana na mtu ambaye hajui sana sheria na ndiyo maana kuna mengine wakati wa upelelexi wake hakuyafanya shahidi kazi yake ndogo sana kusema alichokipelelezasiyo kuanza kuainisha vipengele vya sheria anaema alichokipeleleza na alichogundua kwenye upelelzi wake kibatala analazimisha vit visivyowezekana ni sawa na mtoto mdogo umwambie atoe ushahidi wa tukio akaongea alichokishuhudia halafu uanze kumuuliza masawali ya PGO hataweza kuyasema lakini ukweli kausemautamshindaje hapo?mbowe hachomoki
Hivi unaka elimu ka sheria japo kidogo?
 
wakala wa shetani ni yule anayeweza kushabikia nchi kuvurugika kwaajili ya mtu mmoja mbowe ni gadi wala siyo mdai katiba mpya hivi kama unaakili tu hata kidogo kama unayo lakini kweli kesi ushahidi wa muda mrefu yeye kadai katiba hata miezi miwili haijaisha leo unasema kakamatwa kwaajili ya katiba mpya? tumieni akili siyo mnatumia vijambi kufikiri
Naona umepora mamlaka ya katiba ya nchi umechukua wewe.Mahakama ndiyo yenye mamlaka ya kumtia hatini mtuhumiwa,si vinginevyo.
 
sawasawa tatizo ni la kwen mnapolalamika sana mbowe siyo gaidi kumbe mnajuwa mwenye mamlaka ya kuthibitisha ni mahakama? tulieni basi dawa iwaingie
 
unajuwa sheria ukiwa unaijuwa sana huwezi kushindana na mtu ambaye hajui sana sheria na ndiyo maana kuna mengine wakati wa upelelexi wake hakuyafanya shahidi kazi yake ndogo sana kusema alichokipelelezasiyo kuanza kuainisha vipengele vya sheria anaema alichokipeleleza na alichogundua kwenye upelelzi wake kibatala analazimisha vit visivyowezekana ni sawa na mtoto mdogo umwambie atoe ushahidi wa tukio akaongea alichokishuhudia halafu uanze kumuuliza masawali ya PGO hataweza kuyasema lakini ukweli kausemautamshindaje hapo?mbowe hachomoki
Mpaka sasa naomba unipe ushahidi wowote kutoka upande wa Jamhuri uliothibitisha ugaidi wa kina Mbowe.

Yaani hadi mashahidi wenyewe wanakana kwamba hawakuona ama kushuhudia kina Mbowe wakipanga njama za ugidi.

Wanasema ni hearsay kutoka kwa viongozi wao kwa maana unaamrishwa tu fungua kesi ya ugaidi dhidi ya fulani bila taarifa sahihi.

Wengine ni wanasheria humu sasa unapoongea vitu vya kitoto unajidhalilisha na utadharauliwa humu.

Yaani hadi sasa ni story tu mara walikutana Morogoro wakaenda Moshi sasa kwenda Moshi ndo kufanya ugaidi kwenyewe?

Yaani serikal imekuwa na uoga bila sababu juu ya katiba mpya.
 
sawasawa tatizo ni la kwen mnapolalamika sana mbowe siyo gaidi kumbe mnajuwa mwenye mamlaka ya kuthibitisha ni mahakama? tulieni basi dawa iwaingie
Tunaihoji Jamuhuri ilete ushahidi wa kuthibitisha madai yake,hatulalamiki.Katika jinai,utetezi unakazi ya kuraise doubt na Jamuhuri iondoe hiyo doubt bila kuacha shaka kwa maana ili jinai ithibitike lazima Jamuhuri iprove bila kuacha shaka ndipo mahakama ihukumu.Kwanini wewe unahukumu ugaidi wakati haujathibitika?
 
Mpaka sasa naomba unipe ushahidi wowote kutoka upande wa Jamhuri uliothibitisha ugaidi wa kina Mbowe.

Yaani hadi mashahidi wenyewe wanakana kwamba hawakuona ama kushuhudia kina Mbowe wakipanga njama za ugidi.

Wanasema ni hearsay kutoka kwa viongozi wao kwa maana unaamrishwa tu fungua kesi ya ugaidi dhidi ya fulani bila taarifa sahihi.

Wengine ni wanasheria humu sasa unapoongea vitu vya kitoto unajidhalilisha na utadharauliwa humu.

Yaani hadi sasa ni story tu mara walikutana Morogoro wakaenda Moshi sasa kwenda Moshi ndo kufanya ugaidi kwenyewe?

Yaani serikal imekuwa na uoga bila sababu juu ya katiba mpya.
yaani hapo ndiyo unapokoseana na hujui unachokiongea kujumuisha katiba mpya nahii kesi kwanza unaonekana hujui kitu kuhusu hii kesi
je unajuwa kuwa makomandoo walikamatwa hata kabla ya mbowe kuanza kudai katiba mpya? hilo tu kaa jifikirie kuwa suala la katiba mpya hapao halihusiki kabisa mbowe kaanza kudai katiba mwaka huu makomandoo walikamatwa kabla hata ya uchaguzi na mbowe akawasusa akijuwa hatakuja kukamatwa nakuunganishwa nao tumiaakili unajidharaulisha humu au ukae kimya wanaume wenye akili waongee
 
Kiongozi acha kumjibu huyo mtu mimi nimempiga block.
hunahojaya kunijibu ndiyo maana huwezi kushindana kwa hoja unalazimisha hoja zako ndiyo ziwe sawa kwaniniusiachie mahakama kwanini unakataa kuwa mbowe ni gaidi?
 
yaani hapo ndiyo unapokoseana na hujui unachokiongea kujumuisha katiba mpya nahii kesi kwanza unaonekana hujui kitu kuhusu hii kesi
je unajuwa kuwa makomandoo walikamatwa hata kabla ya mbowe kuanza kudai katiba mpya? hilo tu kaa jifikirie kuwa suala la katiba mpya hapao halihusiki kabisa mbowe kaanza kudai katiba mwaka huu makomandoo walikamatwa kabla hata ya uchaguzi na mbowe akawasusa akijuwa hatakuja kukamatwa nakuunganishwa nao tumiaakili unajidharaulisha humu au ukae kimya wanaume wenye akili waongee
Hauko serious mkuu yaani kwamba madai ya katiba mpya yalianza hivi juzi?

Katiba mpya ilianza kudaiwa muda mrefu sana tangu enzi za jiwe ila hapa katikati ni kama moto ulikolezwa zaidi.
 
Tunaihoji Jamuhuri ilete ushahidi wa kuthibitisha madai yake,hatulalamiki.Katika jinai,utetezi unakazi ya kuraise doubt na Jamuhuri iondoe hiyo doubt bila kuacha shaka kwa maana ili jinai ithibitike lazima Jamuhuri iprove bila kuacha shaka ndipo mahakama ihukumu.Kwanini wewe unahukumu ugaidi wakati haujathibitika?
sijahukumu ugaidi nasema tena muache kulalamika kuwa mbowe siyo gaidi mwenye uamuzi wa mwisho ni jaji sasa kelele nyingi mara hakuna ushahidi mara mbowe siyo gaidi nyie mmekuwa jaji?
 
Kibatala: kwa hiyo wewe Pamoja na Mambo yote Uli Mwomba Na Rekodi za Mawasiliano ya simu

Shahidi: Ndiyo

Kibatala: Je wewe Uliona Katika Barua yake kutoka Kwenu Terms of reference suala la Call Recordings lipo

Shahidi: Halipo

Kibatala: kwa hiyo Mliomba au Hamkuomba

Shahidi: Hatukuomba

Kibatala: Uwe sasa inasililiza kwa Makini.. Haya Unafahamu Kuhusu Sheria ya EPOCA

Shahidi: Sifahamu

Kibatala: Kwa hiyo ufahamu Kwamba Sheria hiyo nakupa Mamlaka Ya Kuomba Voice Recordings

Shahidi: Sifahamu

Kibatala: Kwa hiyo Wewe Wakati DCI na Kingai Wanakuteua waliluteua Kwa sababu ya Uwezo au Sababu ya Kitengo X

Shahidi: Sababu ya Uwezo

Kibatala: Hivi una Elimu gani

Shahidi: Kidato cha 6

Kibatala: Sekondari gani

Shahidi: Moshi

Kibatala: Ulipata Division ngapi

Shahidi: Division 3 Point 13

Kibatala: ulifaulu Kwenda Chuo

Shahidi: Hapana, CCP Moshi

Kibatala: Ok! Ndiyo Walikuchagua sababu ya uwezo huko.
Inafurahisha sana kuona tz tuna mawakili hodari na wanaitumia fani zao kwa weledi mkubwa sana. Hii kesi mpaka inafika mwisho itawapa sifa kubwa sana mawakili wa utetezi bila kujali matokeo ya kesi
 
Back
Top Bottom