Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

Cross examination ya hawa jamaa itawaweka mawakili wa serikali kwenye wakati mgumu sana, hawa wanatoa yote kichwani bila kukaririshwa, sasa ni jukumu la mawakili wa serikali kuhakikisha wanawaondoa kwenye reli watu ambao wanatoa ukweli walioupitia.
The beauty of TRUTH is, it doesn't require anyone to keep memories. It just flows out.
 
Kwa jinsi kesi inavyoendelea na mashahidi wote ni polisi na ushahidi ni WA kujirudiarudia, kwa Nini wanajamii tusiaminishwe kwamba yafuatayo:
a) Kesi hii ni ya kutunga;
b) Kesi hii ni ya kisiasa; kwamba mwaka 2020 ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi mkuu hapa I'm jTanzania na Mwamba Freeman Aikel Mbowe alikuwa ni kutoka Kambi ya upinzani na dunia nzima ilishuhudia jinsi uchaguzi mkuu ulivyovurugwa na kwa mara ya kwanza tangu Tanzania iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, chama tawala 'kilishinda'kwa kishindo;
c) Kwa vile mashahidi wa mashtaka wote ni polisi, kwa nini kesi hii isiaminike kwamba ilitengenezwa kwa lengo la kuwapandisha vyeo baadhi ya polisi waliohusika katika mchezo huu wa kuingiza?; Wengi wao qanepandiswa vyeo baada ya kuhusika katika kesi hii kama mashahidi wa mashtaka;
d). Na kwa nini jamii isiaminishwe kwamba Kwa vile Tanzania haijapata kushuhudia namna Kesi ya ugaidi ikiendeshwa, na hivyo hii kesi imefanywa iwe platform( uwanja wa kujifunza), in case siku taifa likingia kwenye matukio ya namna hii. Lakini imefanyika hivi kwa gharama ya watu mashuhuri, uchelewaji wa baadhi ya harakati (harakati za kudai Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi);
e). Kwa Nini jamii isiamini kwamba kesi hii imetengenezwa ili kuchelewesha harakati za kupata Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?;
f). Iliwahi kusemwa huko nyuma kwamba kama kuna machafuka au kupotea kwa tunu ya amani nchi hii basi hayo yatatoka kwa chama tawala. Sasa kwa haya yanayotokea katika vyombo vyetu vya utendaji haki (ubambikiaji wa kesi),ni rahisi kutengeneza hofu, wananchi kutoipenda na kutokuwa na imani Serikali yao na amani, utulivu na mshikamano kutoweka.
Kesi ina M tatu (3): Mshitakiwa, Mshitaki na Mwamuzi. Mashitaka hayamati sana, unaweza kuweka mashitaka yoyote, utakwama kwenye ushahidi. Hii ni kesi ya ugaidi, kwa hiyo usishangae mapolisi kuwa wengi. Ingekuwa ni kesi ya uchaguzi, wanasiasa wangekuwa wengi zaidi na wangejirudiarudia.

Kesi si ya kutunga, imeweka mashitaka ya ugaidi na kuhujumu uchumi. Ni lazima pawe na ushahidi, tumesikia toka tigo malipo, magaidi makamando, na binduki ilikamatwa. Anadai VIP Protection, protection kwenye mbege?

The fellow is in hot soup, njia pekee waliyonayo watetezi ni vipingamizi visivyo na mdhiko wala mvuto.

Hayo ya uchaguzi ndiyo yanamkaanga zaidi. Alishindwa kwa kura 78% na katoto kadogo kabisa, jimbo aliloongoza tangu vyama vingi kuanza. Kwa nini wamshitaki mshindwa, si wangemshitaki alipoiba kura 2000 na 2005?
 
Kweli ww n nguchiro
wamfunge chap huyu gaidi..haya makelele ya ubw## koko yaishie.ushahidi umeenyoka kabisa kesi inatakiwa iwe imeisha muda mrefu sana...hawa mawakili kazi yao imekuwa nikuweka mapingamizi tu ili kuisumbua mahakama ila hakimu kwa wanavyokuchosha..mfunge gaidi na viboko juu
 
Ucwe mpumbavu ww!!kwan kujilinda ni makosa???
Utasikia matusi tu na majigambo oh mwamba ni mtu maarufu; oh mbona diamond anao; oh ana hela nyingi hata baba yake alichangia harakati za uhuru wa Tanganyika blah blah
 
mawakili wa Serikali wameona Mashahidi wao wanaendelea kuvuruga kila siku leo wameamua kukatisha ushahidi na Kusema wamekuwa kutokuendelea kutoa Ushahidi. Wakati jana walimuahidi Jaji kuja na Shahidi mwingine [emoji28][emoji28][emoji28] Mambo ni Magumu.
 
Tafakar kabla ya kutenda hakika ww n manii tu hata kama utajitutumua vp
shahidi kafundishwa kuja kusema maneno ya kutia huzuni mahakamani akifikiria yatamuokoa yaani hata aseme alilishwa mavi jela iko palepale hao ni magaidi
 
Well said mkuu
Sasa ni wazi hii nchi haitakaa ipate maendeleo. Kila cku vikao - ni vikao vya kuzindua mara michezo mara makongamano, mara usalama barabarani, mara cjui nini - ili mradi rais yuko busy ktk misafara ya uzinduzi, kila siku.

Imekuwa mahali muafaka pa kujipatia mi-posho kwa wajanja (washauri). Wakati haya yakiendelea, viongozi kila mahali wanahama ofisi, wamehudhùria misafara - na sio kwenye wilaya husika tu, hata za jirani na mikoa jirani, hata madaktari hawako salama. Piga hesabu za gharama uone kodi zetu zinapoishia!

Njoo kwenye teuzi! Kila kiongozi kuteuliwa na rais, kuanzia wilayani hadi taifa, wako wabunge wa rais, mahakimu wa rais, Mkuu wa Majeshi, wa Mapolisi, Jaji Mkuu, wa Usalama, Takukuru na viongozi mbalimbali na mateuzi haya huambatana na posho zao. Sasa, ikiwa wote wanateuliwa na rais, nani wa kumkemea nani! Yaani tukubali tu kuwa sasa, umebaki mhimili mmoja wenye nguvu na hauko kikatiba - chama dola.

Hebu fikiria, ili uwe rais, lazima upitishwe na chama chako. Kwa CCM, ukishapitishwa mgombea na ukishinda, unakuwa Mkt wa chama na kwa wadhifa huo una uwezo wa kutumia chama kumtimua yeyote uanachama - iwe Spika au Jaji Mkuu au yeyote yule. Ikishafika hapo, kama ilivo sasa, the president is Supreme. Viongozi wote wanatakiwa kuufyata mbele ya rais.

Kwa mfumo huo, kipi kitafanyika kwa ufanisi, labda kuimba mapambio hasa ule wa "Rais Wetu ni Mteule wa Mungu" na ule wa "Mamlaka zote zimetoka kwa Mungu" ambazo kwa sasa zinaimbwa kotekote hata kwenye vilio, ili tu kumfurahisha mkulu.

Kila baada ya uchaguzi, mchakato wa kushinda uchaguzi unaofuata huanza na fedha toshelezi kwa ajili hiyo husakanywa kila mahali, hata zile zinazoitwa za maendeleo zinakuwa halali yao - sasa kwa staili hiyo, lini tutapata maendeleo?!

Piga ua, tatizo kuu ni katiba. Kwa hii isiosomeka kutokana na viraka, rais atafanya lolote kama apendavyo na tukiendelea hivyo tutaendelea na utamaduni wa kuimba mapambio kama majuha fulani ambao kwao ni Tz na maendeleo tutayasoma kwenye magazeti - hususan "Uhuru" au kuyasikia toka midomo ile ambayo tumekuwa tukiisikia ya wanasiasa wetu kila wakati - na tutegemee tena hayo ktk shereha ijayo, kuyasikia na sio kuyaona...nk
MIAKA 60 YA UHURU NA ITUFUNGUE TUONE MAENDELEO MUAFAKA - UMUHIMU WA KATIBA MPYA, period.
 
Hii kauli ni ya kushangaza kutoka katika mamlaka
259285730_572995593804952_480236315544758645_n.jpeg
 
Back
Top Bottom