Kesi ina M tatu (3): Mshitakiwa, Mshitaki na Mwamuzi. Mashitaka hayamati sana, unaweza kuweka mashitaka yoyote, utakwama kwenye ushahidi. Hii ni kesi ya ugaidi, kwa hiyo usishangae mapolisi kuwa wengi. Ingekuwa ni kesi ya uchaguzi, wanasiasa wangekuwa wengi zaidi na wangejirudiarudia.
Kesi si ya kutunga, imeweka mashitaka ya ugaidi na kuhujumu uchumi. Ni lazima pawe na ushahidi, tumesikia toka tigo malipo, magaidi makamando, na binduki ilikamatwa. Anadai VIP Protection, protection kwenye mbege?
The fellow is in hot soup, njia pekee waliyonayo watetezi ni vipingamizi visivyo na mdhiko wala mvuto.
Hayo ya uchaguzi ndiyo yanamkaanga zaidi. Alishindwa kwa kura 78% na katoto kadogo kabisa, jimbo aliloongoza tangu vyama vingi kuanza. Kwa nini wamshitaki mshindwa, si wangemshitaki alipoiba kura 2000 na 2005?