Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu na mkutano mkubwa Shinyanga

Mambo mengine ni ya kawaida sana. Cdm munayakuza kutafuta kiki. Lisu ni wakawaida sana kwa Magufuli.
Mkuu hivi unaona kitu chochote Cha Maana kwa maguflii,ilikuwa ni bahati mbaya kwa mtu huyu kuwa rais wetu Ila hana quality yoyote ya uongozi
 
Aisee hakuna kabila lenye machief wengi Kama wasukumu:-
Mbowe chief wa wasukuma
Lowassa Chief wa wasukuma
Lissu chief wa wasukuma
Anne Kilango Chief wa wasukuma
Stevene Masele Chief wa wasukuma

Duh cha ajabu pamoja na kusimikwa kuwa chief CDM mkoa wa Shinyanga hawajawahi kuambulia hata Jimbo moja la uchaguzi tangu mfumo wa vyama vingi umeanza.
 
Hahahahaa..... kweli asee ajulikani km kijana au mzee.... sema vijitu kama vile vinaishigi miaka mingi balaa
Tatizo ni matunguli wanayo pewa na waganga wao ili wapate madaraka
 
Safi sana mkuuu 😒😒🤔🤔

Tupeni watu wenye akili timamu kutoka chadema✌️✌️
 
Nasikia unalaumiwa kwa kukosea shabaha
Kwa nini kama unanifahamu hujanipeleka mahakamani?
Mbona mzee wa kiki na ushuhuda wenu anajitapa mbobeziii, wa sheria mbana hajafungua kesi mahakamani kama anawafaham watu hao?
Hivi kweli MTU ufanyiwe vile halafu usiripoti mahakamani tukio lile?
Mbona alipovuliwa ubunge alienda mbio mahakamani?
 
YOU MUST BE STUPID! You can not compare Lisu with magu in intellectuality, upstairs capability!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…