Kwa anavyo mdhalilishaga Mwalimu Nyerere wana Mara hawana hamu naye
Ha ha ha, Ila 'Molemo' umeimprove sana, utoaji wako taarifa umetukuka,Ni zamu ya Musoma leo.
Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo.
Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa Sasa.
Tutawaletea yatakayojiri
Kusema Nyerere alikuwa binadamu na sifa ya binadamu sio mkamilifu ni udhalilishaji? Acheni kumwabudu mtu..Kwa anavyo mdhalilishaga Mwalimu Nyerere wana Mara hawana hamu naye
Kwa anavyo mdhalilishaga Mwalimu Nyerere wana Mara hawana hamu naye
Ni zamu ya Musoma leo.
Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo.
Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa Sasa.
Tutawaletea yatakayojiriView attachment 1581133
Kweli kabisa ibada za wafu hazifai hata kidogo, aliye kufa amekufa tu.Kusema Nyerere alikuwa binadamu na sifa ya binadamu sio mkamilifu ni udhalilishaji? Acheni kumwabudu mtu..
Tanzania 🇹🇿 hatuko huru.Kwani aliyekwambia wana Mara ni watu wanafiki nani?.Nyerere hakuwa Mungu,alikuwa na yote,mabaya na mazuri.Acha kutuaminisha ujinga.Yaani hata asingekuwepo Nyerere bado Tanzania ingepata uhuru Ilikuwa ni suala la muda tuu.Sababu hakuna mpaka sasa nchi yoyote ya Africa ambayo haiko huru.Tena huenda aliwahisha uhuru,ndiyo sababu nchi yetu imechelwa kupata maendeleo.sababu historia inonyesha nchi zilizochelewa kupata uhuru ziko mbali kimaendeleo.ni kama walivyotaifisha,viwanda hapa bongo vikafa,mashamba kule zimbabwe halafu wakashindwa kuendesha
Nyienyie ngoja muambiwe picha niza mwaka jana.maana uchaguzi huu spana zimezidi nyoka wanatoka pangoni,je nazile spana za manunuzi ya ndege Za Marandu mmezisikia?Basi maandalizi hapa ni ya hatari, watu ni wengi ajabu, hakuna wasanii, hakuna malori, mabasi ya kuwaleta watu wa kumsikiliza, hakuna elfu tano tano za kuwalipa wahudhuriaji.
Yani watu wanakuja kwa upendo wao binafsi kwa TAL
Tayari yuko ndani ya mioyo yao, Wala hiyo sio sababu.Leo ni Siku ya sabato Musoma wengi ni wasabato hawataenda mkutanoni na watamyima kura kwa kitoheshimu sabato