Tumelichukua tayari KamandaLissu lazima azungumzie usumbufu wanaopata wananchi kwa kila mara kubadilisha Passport na Driver's licenses kama njia ya serikali kujipatia fedha!!! Ubadilishaji huu ni aina ya kodi kwa wananchi; hakuna sababu ya duplication ya passport na viatambulisho lukuki vikiwemo leseni za udereva, kitambulisho cha Taifa na kadi ya mpiga kura!!! Serikali makini ingevijumuisha hivyo vyote kwenye kitambulisho kimoja hivyo kuokoa mabillioni ya fedha ambazo zingetumika katika shuhuri nyingine za maendeleo!!!
AsanteNilikuwepo
da pureshaa inapandaLeo ni Siku ya sabato Musoma wengi ni wasabato hawataenda mkutanoni na watamyima kura kwa kutoheshimu sabato
Hebu jaribu na hii...Mbona video hazichezi au figisu hadi jf
Kuna wanaomdhalilisha mwalimu kuliko maccm ambao hamna hata huruma mlimkokota bibi wa watu ili muongeze vichwa. Sasa hivi hamna pa kushika, lila mti unateleza. Laanakum.....Kwa anavyo mdhalilishaga Mwalimu Nyerere wana Mara hawana hamu naye
Ccm ina vijana wa hovyohovyo tu, nawashangaa hata hao wanaokulipaLeo ni Siku ya sabato Musoma wengi ni wasabato hawataenda mkutanoni na watamyima kura kwa kutoheshimu sabato
Bado kwangu hazifunguki sijui nakwama wapi
Wakurya tena? Musoma? Unachanganya na Tarime? Ndiyo ubaya wa kuona maeneo kwa macho ya kikabilaKama siyo population ndogo ya mji wa Musoma, Musoma leo ingelivunja rekodi zote zilizowekwa na mikoa mingine! Lakini ukichukulia ratiowise, basi kama kungelikuwa na uwezekano wa kuchukua data, MUsoma itavunja rekdi maana wakurya wanajitambua sana
Usikariri.. huku hata kabla ya Lissu, bila wizi ccm hawashindiKwa anavyo mdhalilishaga Mwalimu Nyerere wana Mara hawana hamu naye
Lissu ninmsema ukweli maccm msema ukweli mnaita matusi. Cheki wana Musoma kwa Mama MariaKwa anavyo mdhalilishaga Mwalimu Nyerere wana Mara hawana hamu naye
mtaumbuka sana mwaka huu. Kila mti unateleza. Hapo tu ni sikLeo ni Siku ya sabato Musoma wengi ni wasabato hawataenda mkutanoni na watamyima kura kwa kutoheshimu sabato
Heheee Bibi akawalarua pale pale. Usicheze na wazee wanaojielewa.Kuna wanaomdhalilisha mwalimu kuliko maccm ambao hamna hata huruma mlimkokota bibi wa watu ili muongeze vichwa. Sasa hivi hamna pa kushika, lila mti unateleza. Laanakum.....
We are blessed to have you Mr LissuNi zamu ya Musoma leo.
Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo.
Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa Sasa.
Lissu anayeungwa mkono na Makundi yote hususan wafanyabiashara na Wafanyakazi kote nchini ameapa kufuta Mara moja sheria Haramu iliyowekwa ya kupunguza Mafao ya wastaafu na kurudisha Mara moja Fao la Kujitoa.Serikali ya CCM ilipitishwa Sheria ya kikandamizaji kwamba mtu akiacha kazi ya kuajiriwa hata Kama ana miaka 30 sharti asubiri afikishe miaka 60 ndiyo apate haki yake ya Mafao.Shetia hiyo imelaaniwa na kila mpenda haki lakini serikali ya CCM imeweka Pamba masikioni.
Kwa tathmini iliyo wazi mpaka Sasa Lissu ana uwezekano wa kushinda kwa zaidi ya asilimia 60% Ngome pekee ya Mgombea wa CCM aliyokuwa anatamba nayo ilikuwa mkoa wa Geita hata hivyo Lissu ameiteka ngome hiyo wiki hii kwa kupata mapokezi yanayobaki historia vizazi na vizazi
Tutawaletea yatakayojiri
Yaliyojiri Mkutanoni
Kama ilivyotarajiwa Lissu amepata mapokezi makubwa sana mjini Musoma na kwa Hakika kwa Mara nyingine Rekodi ya Tanzania imevunjwa kwa mapokezi.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya watu wa Musoma Lissu aliyataka Majeshi yote kusimama upande wa Wananchi kulinda maamuzi yao na kamwe wasinyooshe silaha zao dhidi ya Rais kwa lengo la kulinda watu watakaotaka kuhujumu uchaguzi huu.
Tundu Lissu amedai kupata habari kwamba Rais Magufuli amewaita wasimamizi wote wa Uchaguzi wa wilaya zote Tanzania, Jijini Dodoma, Sasa Taarifa zimfikie uchaguzi huu hatutakubali uwaribiwe na hawa wasiokuwa na sifa tena.. Mahakama ya Kimataifa inawasubiria watu
View attachment 1581133View attachment 1581738View attachment 1581739View attachment 1581740View attachment 1581741View attachment 1581742
Marandu yupi mkuuNyienyie ngoja muambiwe picha niza mwaka jana.maana uchaguzi huu spana zimezidi nyoka wanatoka pangoni,je nazile spana za manunuzi ya ndege Za Marandu mmezisikia?
Amesafisha uchafu woote ndani ya only 30 days.Mataga chip zinawabana kitu kinagonga. Mbeba Maono katumia siku Kama ishirini hivi tuu kuchana chana ushenzi wa miaka 5 na Mataga wamepoteana.
Watanzania ni watu wastaarabu sana, wanajitahidi kuhudhuria kila kampeni ya mgombea na sera zake huku wakimpa hamasa ya makofi, inapofika siku ya Uchaguzi wanafanya kilichosahihi, Dr. John Pombe Joseph Magufuli for changes, Napita tu.Ni zamu ya Musoma leo.
Rais Mtarajiwa Tundu Lissu atatikisa viunga vya Musoma kwenye Mkutano wa Kampeni leo.
Ni Kama Musoma imesimama kwa ujio wa Shujaa huyu aliye gumzo Afrika na duniani kwa Sasa.
Lissu anayeungwa mkono na Makundi yote hususan wafanyabiashara na Wafanyakazi kote nchini ameapa kufuta Mara moja sheria Haramu iliyowekwa ya kupunguza Mafao ya wastaafu na kurudisha Mara moja Fao la Kujitoa.Serikali ya CCM ilipitishwa Sheria ya kikandamizaji kwamba mtu akiacha kazi ya kuajiriwa hata Kama ana miaka 30 sharti asubiri afikishe miaka 60 ndiyo apate haki yake ya Mafao.Shetia hiyo imelaaniwa na kila mpenda haki lakini serikali ya CCM imeweka Pamba masikioni.
Kwa tathmini iliyo wazi mpaka Sasa Lissu ana uwezekano wa kushinda kwa zaidi ya asilimia 60% Ngome pekee ya Mgombea wa CCM aliyokuwa anatamba nayo ilikuwa mkoa wa Geita hata hivyo Lissu ameiteka ngome hiyo wiki hii kwa kupata mapokezi yanayobaki historia vizazi na vizazi
Tutawaletea yatakayojiri
Yaliyojiri Mkutanoni
Kama ilivyotarajiwa Lissu amepata mapokezi makubwa sana mjini Musoma na kwa Hakika kwa Mara nyingine Rekodi ya Tanzania imevunjwa kwa mapokezi.
Akihutubia maelfu kwa maelfu ya watu wa Musoma Lissu aliyataka Majeshi yote kusimama upande wa Wananchi kulinda maamuzi yao na kamwe wasinyooshe silaha zao dhidi ya Rais kwa lengo la kulinda watu watakaotaka kuhujumu uchaguzi huu.
Tundu Lissu amedai kupata habari kwamba Rais Magufuli amewaita wasimamizi wote wa Uchaguzi wa wilaya zote Tanzania, Jijini Dodoma, Sasa Taarifa zimfikie uchaguzi huu hatutakubali uwaribiwe na hawa wasiokuwa na sifa tena.. Mahakama ya Kimataifa inawasubiria watu
View attachment 1581133View attachment 1581738View attachment 1581739View attachment 1581740View attachment 1581741View attachment 1581742
Safari hii mpaka afe dadadekiJamani huku mgonjwa wa moyo tumirija twake alitopandikizwa tunataka kuchomoka, haamini ni kwa jinsi gani hakubaliki.