Uchaguzi 2020 Yaliyojiri: Mapokezi ya Tundu Lissu (CHADEMA) na Mkutano Mkubwa wa hadhara Musoma Mjini

Tumelichukua tayari Kamanda

Mkumbuke michango yetu kwenye ufalme wenu siyo kuchota busara halafu mnawasahau waliowapa hizo busara!!!! Msiwe kama serikali ya ccm inachota busara humu na kuzitumia kama wao ndio waanzilishi bila acknoledgement!!!
 
Eti Rais Mtarajiwa, Rais gani wa hovyo kiasi hicho. Rais ni Magufuli na watanzania wote watampigia kura za ndio ndg.Magufuli.
 
Mkiambiawa hamna sera wala maono mnakasirika, leteni video anazozungumzia sera tuzione hapa. Kwa staili hiyo CCM itaendelea kuwa imara muda wote. Mimi nitamchagua Magufuli, na Watanzania walio wengi wataungana na mimi kumchagua Magufuli pia.
 
Aisee kwa nyomi hilo anapoona mgombea urais kupitia chama kijani na njano kichwa kinawaka moto kabisa.
Maana hiyo ni zaidi ya halaiki
 
Tumelichukua tayari Kamanda

Lichukue na hili!! Kazi kubwa ya BOT ni kuthibiti mfumuko wa bei katika uchumi wa nchi; katika kufanikisha hilo BOT wanazisimamia shuhuri zote za kifedha za mabenki yetu. Mabenki ili kupata faida hutunza fedha za wateja na kuzikopesha fedha hizo kwa wateja wengine na kuwatoza riba. Mabenki yote duniani hutengeneza faida kwa kukopesha lakini mabenki yetu unfortunately, faida yao kubwa inatokana sio kwa kukopesha bali kwa kuwatoza charges wateja wao!! Wanatoza hata pale mwenye Akiba anapokwenda kuchukua fedha alizoweka mwenyewe!!!! Tozo hizi hazisaidii kuhamasisha watu waweke fedha kwenye mabenki na hivyo kudumaza ukuaji wa uchumi!!

Bot wanatakiwa kusimamia na kuhakikisha kuwa charges zote zinazotozwa na mabenki ni justifiable; hili BOT wameshindwa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…