Mmekubali wenyewe... ndiyo mpira, acheni kuishupalia Yanga inapokosa point.
Mpira umeishaaaaaaaaaaaaas
Wata log in kesho
Acha tumuachie mdogo wetu asogee sogee na yeye, huyu kibonde wetu wa kila siku hatusumbui akili kwani hafiki popote
mikia mbona mmekimbia jukwaaa, mko wapi wakamiaji msio na future ?
Zimeongezwa dk 8 hapa Mkwakwani
Hata Madrid anafungwa sembuse Simba bwana!!
Hata Madrid anafungwa sembuse Simba bwana!!
Acha tumuachie mdogo wetu asogee sogee na yeye, huyu kibonde wetu wa kila siku hatusumbui akili kwani hafiki popote
Mbili bilaaaaaaaaaaaaaaana matokeo yamebaki kuwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk, hahahahahahahahahahahhahahahh teh teh teh teh teh teh teh
Wenye jukwaa wame log out
Mbili bilaaaaaaaaaaaaaaa