Kwakweli tunaona kasi ya mnyama..... kasi yake ni ile ile
Sasa mbona umekatishia habar katikati! hebu malizia basi mkuu, baada ya red card ikawaje?goli la kustukiza sana wakati tunashambulia kwa nguvu, second half tunaingia kushambulia inakuja penati na red card
ndio mpira, hongereni wacheza kwa kujitahidi kadri mlviyiweza, goli la kwanza lilimaliza mchezo, makosa aliyofanya Ivo kwa goli la kwanza angefanya Manyika ningeelewa, kipa mkongwe akiwa na hesabu za kudhani ni makosa makubwa sana, penati na kadi nyekundu halali kabisa ....hongereni Mgambo...........
Hawa Mgambo wametupunguza kasi kidogo, ila ole wake atakae kutana na Mnyama kuanzia sasa.
Halafu mbaya zaidi yeye haingii uwanjani akacheza wala hayupo kwenye benchi la ufundi.Kaka uliniambia niamn maneno yko Jana kabla ya mechi imekuaje tena duuu mpira hauko ivyo unavyockria sawa
hakuna kutafakari, bahati haikua yetu na mpira ulikataa
Halafu mbaya zaidi yeye haingii uwanjani akacheza wala hayupo kwenye benchi la ufundi.
Walipoifunga yanga walisema wameanza ligi,
Wakaifunga mtibwa wakasema hakuna wa kuizuia simba hadi inachukua ubingwa,
Wamekula mweleka jana kwa mgambo wameanza kudebweda debweda na kutuhumiana kuwa kuna mkono wa mtu unaowasababishia kula vichapo na kutoa sare kwenye michezo yao.
Mawazo yako kama Kaburu........Kufungwa...kushinda..ku draw ni kawaida kwenye mpira...ila sio kufungwa na Yanga
Mawazo yako kama Kaburu........
kuna watu wachokozi sana