Yaliyojiri mechi ya Mgambo JKT Vs Simba at Mkwakwani

Yaliyojiri mechi ya Mgambo JKT Vs Simba at Mkwakwani

hakuna kutafakari, bahati haikua yetu na mpira ulikataa
 
goli la kustukiza sana wakati tunashambulia kwa nguvu, second half tunaingia kushambulia inakuja penati na red card
 
goli la kustukiza sana wakati tunashambulia kwa nguvu, second half tunaingia kushambulia inakuja penati na red card
Sasa mbona umekatishia habar katikati! hebu malizia basi mkuu, baada ya red card ikawaje?
 
ndio mpira, hongereni wacheza kwa kujitahidi kadri mlviyiweza, goli la kwanza lilimaliza mchezo, makosa aliyofanya Ivo kwa goli la kwanza angefanya Manyika ningeelewa, kipa mkongwe akiwa na hesabu za kudhani ni makosa makubwa sana, penati na kadi nyekundu halali kabisa ....hongereni Mgambo...........

Huu ndio ukomavu. Nakupongeza sana mkuu kwa kuwa mkweli na kukubali matokeo na maamuzi ya mwamuzi. Washabiki wengine na viongozi tukiwa na ukomavu kama unaouonesha tutafika mbali.
 
Kaka uliniambia niamn maneno yko Jana kabla ya mechi imekuaje tena duuu mpira hauko ivyo unavyockria sawa
Halafu mbaya zaidi yeye haingii uwanjani akacheza wala hayupo kwenye benchi la ufundi.
Walipoifunga yanga walisema wameanza ligi,
Wakaifunga mtibwa wakasema hakuna wa kuizuia simba hadi inachukua ubingwa,
Wamekula mweleka jana kwa mgambo wameanza kudebweda debweda na kutuhumiana kuwa kuna mkono wa mtu unaowasababishia kula vichapo na kutoa sare kwenye michezo yao.
 
10436185_899720303403837_2645469066850989115_n.jpg
 
Halafu mbaya zaidi yeye haingii uwanjani akacheza wala hayupo kwenye benchi la ufundi.
Walipoifunga yanga walisema wameanza ligi,
Wakaifunga mtibwa wakasema hakuna wa kuizuia simba hadi inachukua ubingwa,
Wamekula mweleka jana kwa mgambo wameanza kudebweda debweda na kutuhumiana kuwa kuna mkono wa mtu unaowasababishia kula vichapo na kutoa sare kwenye michezo yao.

Kufungwa...kushinda..ku draw ni kawaida kwenye mpira...ila sio kufungwa na Yanga
 
Back
Top Bottom