Hahahaa.... Umenikumbusha kijana wa maximoItakuwa habari njema, Azam ikifungwa kama goli 4 hivi. Labda watatia akili. Kiwango cha huyu kocha kutoka Spain hakina tofauti sana na kiwango cha Jaja (huyu alikuwa mchezaji wa Yanga)
Huu mkataba na TING wa lini? Kwa hiyo wanataka tununue hayo mating? Ila Yanga nyinyi ni wahapahapa,endeleeni na tabia zenu za rushwa.
Hahahaah eti nyama ya simbaHii azam cola ingenoga km tungepata na nyama ya simba
Ngoma tenaVipi goli la pili kapiga nani?
heri umekuwa mkweli walau kwa LEOHuku mchangaqni hatuna mpinzani,tunawafunga tunavyotaka
Simba ni Nani??Huku mchangaqni hatuna mpinzani,tunawafunga tunavyotaka