Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Mikia huwa wanatumia nguvu nyingi kupambana na yanga tu. Hamna timu pale
Habari za miaka tele mrembo Heaven on Earth
Kumbe na wewe ni mdau wa hii timu yetu ya wanainji? Thats Good.
2-1 hainipi amani kabisa
Gap la pointi 3, linarudi pale pale. Chezea Mgambo weye!
Tukishinda leo mikia watakuwa wanafukuza point 5.
Teh teh teh teh teh
kwenye uzi wa mikia wamekimbia wote kudadeki zao
Wana JF wote ni Yanga isipokuwa Masuke na wenzake wachache.
Habari za miaka tele mrembo Heaven on Earth
Kumbe na wewe ni mdau wa hii timu yetu ya wanainji? Thats Good.
Na sisi tukiwa na mechi 2 mkononi.
Khaaa,simba kapakatwa!!!