Yaliyojiri Mechi ya Yanga vs Kagera Sugar Leo 18/03/2015! VPL

Yaliyojiri Mechi ya Yanga vs Kagera Sugar Leo 18/03/2015! VPL

Khaaa,simba kapakatwa!!!

Mpira Wa Tz bwana! Eti Simba ni bingwa kule kumfunga Yanga tu! Shenzi lazima wachapane makonde hawa! Kuna kimshabiki nilikisikia redioni kinasema ushindi wetu hautakuwa na maana kama tutaishia kumfunga Yanga tu halafu timu zingine zikatufunga! Sasa wamepigwa sijui itakuwaje!
 
Back
Top Bottom