Leo mtasema yote,na badoMalinzi Yanga toka Kagera,refa toka Kagera=Banda red kadi
Imeanza saa 10 dakika ya 4 sasa
Hahahaah kwa Nani???maagizo toka ngazi za juu
Yanashuka kama kawaidaKijana maji yanashuka kweli?
Lililokotoka hilo 1 na 2 zitatokea hapo hapoZitoke wapi??
Tunasawzisha Na kuongeza. Mwisho 2 - 1Ngoja tuone kipindi cha pili kama Simba watarudisha au Yanga ataongeza magoli zaidi au matokeo yatabaki hivi hivi kama yalivyo kipindi cha kwanza.
Sijajua kadi imetoka kwa ajili ya kosa ganiHuyu mama kaniudhi hatari,sasa ndo nini
kweli kabisa.. uhaya unaharibu mpira wa tz
umeona mkuu,jamaa kaona kuweka wahaya watupu Tff haitoshi,kaleta refa muhaya.. uhaya unaharibu mpira wa tz
Huyu refa kaokotwa wapi sijuiumeona mkuu,jamaa kaona kuweka wahaya watupu Tff haitoshi,kaleta refa muhaya