Ntambirweki again
JF-Expert Member
- Feb 25, 2022
- 213
- 191
Hata Bashiru? [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kinana ashinda umakamu mwenyekiti CCM kwa kura zote za wajumbe 1875
Hakuna kura iliyoharibika
Nakumbuka hata kule CCM Kirumba mama Nyerere alivyobebwa kwenye mikampeni ndio huyu nae ameenda kujaza kura za NDIYOKamaliza fungate?
Mafisadi yote yapo town nowHii saccoss inaanza kuporomoka mapema! Wewe unadhani watu watafurahia kuvaa nguo za kijani? Yanarudi yaleyale ya kuficha jezi ndani begi!
Makamba kasema kweli, 2025 hakuna uchaguzi, uchaguzi upo 2525!
Naye ni mpiga kura?nakumbk hata kule ccm kirumba mama nyerere alivyobebwa kwenye mikampeni ndio huyu nae ameenda kujaza kura za NDIYO
😄😄😄 huamini mbona wabunge wamepita wote wa ccmHata Bashiru? [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sasa unafikiri ameenda kumaliza maji ya UHAI tu?Naye ni mpiga kura?
CCM bhanasasa unafikiri ameenda kumaliza maji ya UHAI tu?
Miaka 500 ijayo?Hii saccoss inaanza kuporomoka mapema! Wewe unadhani watu watafurahia kuvaa nguo za kijani? Yanarudi yaleyale ya kuficha jezi ndani begi!
Makamba kasema kweli, 2025 hakuna uchaguzi, uchaguzi upo 2525!
Mbonà na mama yako Ni Chadema? Basi naye Ni mnuka kwapaCCM ni kweli itatawala sana ilo halina ubishi haitoki leo wala kesho.
Upinzani wenyewe ni mashabiki wa mambo ya CCM unategemea nini?
Chadema kumejaa uchaga walimchukia sana Magufuli mpaka wamekuwa kama wehu wamekosa direction na sasa hivi wameanzisha mashambulizi kwa wasukuma kila siku wasukuma hivi wasukuma wananyooshwa ila navyowajua wasukuma na ule wingi wao watawafurahisha. Chadema pia imejaa ulutheri maaskofu wa Lutheran ndio wnaharakati wao siku hizi.
ACT ndio sijui hata wanasimamia nini kwa sasa ni kama viongozi wao kina Zitto wamekuwa machawa wa Samia wanamlinda kwa nguvu zote asipate mashambulizi.
Pamoja na mapungufu yote kiukweli CCM bado ni chama imara na afadhali mara 1000000000 kuliko awa wanuka kwapa wa uko upinzani.
Mshenzi mkubwa wewe, marehemu Kama aliua ndugu zangu? Wewe mshenziChadema ni hovyo kabisa, wanapoteza muda kushambulia wasukuma na hayati, huku ccm akichekelea, watakaposhtuka kurudi kwenye siasa tayari CCM na la kuwashambulia, kwamba ni chama kinachohamasisha ukabila na kutoheshimu marehemu, binadamu akishafariki mnamsetiri siyo kumbagaza.
I am sorry, Makamba huwa namuona Kama jinga jinga vile!Ukimsikiliza Makamba utatambua Taifa Lina watu wa aina gani; wanasiasa wa aina gani na viongozi wa aina gani. Yeye wakati wa Magufuli alipopata taabu Sana hakusemea Wana CCM alisemea familia yake. Leo ajasemea wananchi anasemea namna Bora yakuweka mfumo wakulinda familia yake.
Ni kweli tunahitaji watu wa aina hii wakibadilika na kukarimu Kila kiongozi hata kama atakosea? Makamba anapodai mafarijiano kwanini asituambie MFARAKANO na kutoelewana kuliletwa na wakina Nani na Sasa wapo wapi?
Siasa hizi haziwezi kuliletea maendeleo Tqifa zitapeleka maendeleo Kwa familia chache. Watu Wanawaza zaidi familia zao kuliko majirani na ndiyo maana kwao hata watu waumizwe vipi as long siyo damu zao hakuna shida.
Kwanini ndugu? Miaka 500? Sasa hivi!, kama haijaporomoka kwanini kwanini kura zipigwe kimkoa? Kwani kulikuwa na ulazima gani wa kupiga kura?Miaka 500 ijayo?
Bashiru na Mrema hao ni waalikwa. Hawapigi Kurasasa unafikiri ameenda kumaliza maji ya UHAI tu?
Maadam anaendelea kusifiwa lazima pia abagazweChadema ni hovyo kabisa, wanapoteza muda kushambulia wasukuma na hayati, huku ccm akichekelea, watakaposhtuka kurudi kwenye siasa tayari CCM na la kuwashambulia, kwamba ni chama kinachohamasisha ukabila na kutoheshimu marehemu, binadamu akishafariki mnamsetiri siyo kumbagaza.
2025 CCM na Samia watakuwa kazi rahisi sanaCCM ni kweli itatawala sana ilo halina ubishi haitoki leo wala kesho.
Upinzani wenyewe ni mashabiki wa mambo ya CCM unategemea nini...
Ndovu zinasikitika sanaMjumbe kama mjumbe, sijui anaelewa au anatoa macho.
View attachment 2171494