Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

Waswahili walisema wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza. Nadhani maana ya cheo ni dhamana kwa watesi wa mkongwe huyo ndo watajua sasa. Leo uko ofisini kesho atakuweko mwingine maana kabla yako walipita wengine.
 
Hii saccoss inaanza kuporomoka mapema! Wewe unadhani watu watafurahia kuvaa nguo za kijani? Yanarudi yaleyale ya kuficha jezi ndani begi!

Makamba kasema kweli, 2025 hakuna uchaguzi, uchaguzi upo 2525!
 
Hongera sana mzee Kinana, ulitaka kuondoka kwenye siasa mapema sana. Inajulikana kuwa kadri mwanadamu anavyokua ndivyo busara na hekima huongezeka. Tunakutumaini sana katika zama hizi mzee wetu.
 
Hii saccoss inaanza kuporomoka mapema! Wewe unadhani watu watafurahia kuvaa nguo za kijani? Yanarudi yaleyale ya kuficha jezi ndani begi!
Makamba kasema kweli, 2025 hakuna uchaguzi, uchaguzi upo 2525!
Miaka 500 ijayo?
 
CCM ni kweli itatawala sana ilo halina ubishi haitoki leo wala kesho.

Upinzani wenyewe ni mashabiki wa mambo ya CCM unategemea nini?

Chadema kumejaa uchaga walimchukia sana Magufuli mpaka wamekuwa kama wehu wamekosa direction na sasa hivi wameanzisha mashambulizi kwa wasukuma kila siku wasukuma hivi wasukuma wananyooshwa ila navyowajua wasukuma na ule wingi wao watawafurahisha. Chadema pia imejaa ulutheri maaskofu wa Lutheran ndio wnaharakati wao siku hizi.

ACT ndio sijui hata wanasimamia nini kwa sasa ni kama viongozi wao kina Zitto wamekuwa machawa wa Samia wanamlinda kwa nguvu zote asipate mashambulizi.

Pamoja na mapungufu yote kiukweli CCM bado ni chama imara na afadhali mara 1000000000 kuliko awa wanuka kwapa wa uko upinzani.
Mbonà na mama yako Ni Chadema? Basi naye Ni mnuka kwapa
 
Chadema ni hovyo kabisa, wanapoteza muda kushambulia wasukuma na hayati, huku ccm akichekelea, watakaposhtuka kurudi kwenye siasa tayari CCM na la kuwashambulia, kwamba ni chama kinachohamasisha ukabila na kutoheshimu marehemu, binadamu akishafariki mnamsetiri siyo kumbagaza.
Mshenzi mkubwa wewe, marehemu Kama aliua ndugu zangu? Wewe mshenzi
 
Ukimsikiliza Makamba utatambua Taifa Lina watu wa aina gani; wanasiasa wa aina gani na viongozi wa aina gani. Yeye wakati wa Magufuli alipopata taabu Sana hakusemea Wana CCM alisemea familia yake. Leo ajasemea wananchi anasemea namna Bora yakuweka mfumo wakulinda familia yake.

Ni kweli tunahitaji watu wa aina hii wakibadilika na kukarimu Kila kiongozi hata kama atakosea? Makamba anapodai mafarijiano kwanini asituambie MFARAKANO na kutoelewana kuliletwa na wakina Nani na Sasa wapo wapi?

Siasa hizi haziwezi kuliletea maendeleo Tqifa zitapeleka maendeleo Kwa familia chache. Watu Wanawaza zaidi familia zao kuliko majirani na ndiyo maana kwao hata watu waumizwe vipi as long siyo damu zao hakuna shida.
I am sorry, Makamba huwa namuona Kama jinga jinga vile!
 
Chadema ni hovyo kabisa, wanapoteza muda kushambulia wasukuma na hayati, huku ccm akichekelea, watakaposhtuka kurudi kwenye siasa tayari CCM na la kuwashambulia, kwamba ni chama kinachohamasisha ukabila na kutoheshimu marehemu, binadamu akishafariki mnamsetiri siyo kumbagaza.
Maadam anaendelea kusifiwa lazima pia abagazwe
 
Back
Top Bottom