Elections 2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

Aisee kama timu ya ushindi ya ccm mmempa hii mbinu mzee ikiwa ndio ushawishi kwa wananchi, sio siri mnatakiwa mbadili jina na muiite TIMU YA KUSHINDWA
 

Attachments

  • 1442944725491.jpg
    28.4 KB · Views: 155
Tulieni hii ni kete imewaangukia.
Huyo mgombea wenu mwambieni apige moja tu muone kama atainuka.

Magufuli:
He is physically and mentally fit.

Mentally i dont think so..physically only janeth can tel
 
Hahaha! naona leo JP kupiga push ups kwa knuckles imekuwa issue.
Wakati kuna mtu yeye hufanya jogging kama ananyatia mwizi na hakuna anayejali.
 
Mnashangaa push up wakati kuna aliyepanda daladala na kula kwa mama ntilie?? Siasa nimchezo Magufuli anachezea akili za wapinzani leo hamsemi Lowasa kafanya nini cha maana mmekalia Push up????

Hivi kupiga push ups na kupanda daladala ni vitu vinavyoshabihiana ??
 
Mwambieni Mamvi wenu apige hata Pushapu mbili kama hamjarudisha Monduli akiwa kafa...

Push up za nini sasa...mtu wa phd hajui saddam alikuwa wa wapi..atafanya nchi za wenzetu waamini bado tunaishi juu ya mti..Magufuli anamhitaji sana Lowassa awe rais wake maana ni Elimu ..Elimu Elimu..Phd holder ndo yuko hivyo...
 


Hilo la chumbani hilo! Au ndiyo linamfanya mama asusie kampeni??
 
Ha ha haaaaa haya tazama picha....
 

Attachments

  • 1442945643061.jpg
    33.2 KB · Views: 102
Yaani huyu Magufuli anashindwa kucheza na saikolojia rahisi tu ,hivi kama MTU uko physical fit au upo right kwenye jambo lolote kuna haja gani ya Kutumia nguvu nyingi kuprove wakati uhakika unao ??
 
Yaan kwa Miaka kumi ya uongozi wa kikwete nimemsoma kitu fulani inapotokea kitu ambacho anauhakika kuwa wananchi hawakubaliani nacho huwa anakimbiliaga ulaya kusubiri hali itulie..na hii ya sasa inamaana keshamuona magufuli ni mzigo..duh tutapiga push up kinoma mwaka huu
 
Mkuu una umri gani??
Au kichwani hakujakomaa???
Kweli umeshindwa kuelewa alichozungumza wakati anapiga hizo pushapu??
 
Magufuli ana waandaa wananchi kisaikolojia wajiandae kupokea kichapo cha dikteta Magufuli kama watamchagua kwenda Ikulu.
 
Aisee kama timu ya ushindi ya ccm mmempa hii mbinu mzee ikiwa ndio ushawishi kwa wananchi, sio siri mnatakiwa mbadili jina na muiite TIMU YA KUSHINDWA

Mzee kakaza ko<>ta kinoma!!!!
 

Obama alifanya akiwa uwanjani na si kwenye jukwaa.
 
UKAWA tunawaambia kila siku, Ikulu sio Hospital ya Wagonjwa. Sasa mleteni Lowassa na yeye apige push ups tuone mwisho wako. Hii ndio habari ya Mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…