Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
itazame itv kesho kuanzia saa12asbh utaiona
Kwenye kipindi cha maziezi......?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itazame itv kesho kuanzia saa12asbh utaiona
Tulieni hii ni kete imewaangukia.
Huyo mgombea wenu mwambieni apige moja tu muone kama atainuka.
Magufuli:
He is physically and mentally fit.
Mnashangaa push up wakati kuna aliyepanda daladala na kula kwa mama ntilie?? Siasa nimchezo Magufuli anachezea akili za wapinzani leo hamsemi Lowasa kafanya nini cha maana mmekalia Push up????
Mwambieni Mamvi wenu apige hata Pushapu mbili kama hamjarudisha Monduli akiwa kafa...
unapokuwa jukwaani then watu hawana habari na ww inakubidi ufanye kituko japo upate attention yao unadhani wafadhili utaenda kuongea nao kwa kupga push up au maendeleo yanaletwa kwa push ups basi wanajeshi ndo wangekuwa na wafadhili na maendeleo mengi kila m2 anapga push ups kwa mkewe bhana asituletee style za michezo ya chumbani hadharani
Nadhani picha yake ni hii ''hapa''
![]()
Aisee kama timu ya ushindi ya ccm mmempa hii mbinu mzee ikiwa ndio ushawishi kwa wananchi, sio siri mnatakiwa mbadili jina na muiite TIMU YA KUSHINDWA
MAGUFULI AMEPAGAWA
Amefikia hatua ya kupiga push up na kujithalalisha mbele za watu kwasbb ya IKULU
Amekuwa mwongo ktk swala la milioni 50 kila kijiji na zhnt kwsbb ya IKULU
Amekuwa anaropoka kila wkt mbele za watu na kuongea kilugha akieneza ukabila,ukanda na Vitisho kwsbb ya IKULU
Amekuwa akiwatuma wafuasi wake wamtukane lowasa na kuchana mabango,Kuwaua raia wasio na atia na kutoa rushwa kwsbb ya IKULU
Ameamua hata kuiba M4C ya chadema kwsbb ya IKULU
Wanatumia magari ya serikali,wanawasomba watanzania km kokoto,wanatumia wasanii wengi na kuwahonga watu mbalimbali kwasababu ya IKULU.
Amekuwa akieneza sera za uwongo zilizomshinda kikwete,akitumia nguvu nyingi xn kwsbb ya IKULU
JE CCM WANATAKA IKULU KWA NGUVU KWA MASLAHI YA NANI..EWE MTANZANIA CCM NI SUMU YA MAENDELEO
Magovinda wajinga wajinga sana ..
Maumivu teyari yanakupata ile mbaya. Endelea kupata dozi kila kukicha.Obama alifanya akiwa uwanjani na si kwenye jukwaa.