Elections 2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

Elections 2015 Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Karagwe - Septemba 22, 2015

Atakuja afe kwa sifa huyu mzee,sijui vile vi battery vingechomoka ingekuwaje!!!
 
Mnashangaa push up wakati kuna aliyepanda daladala na kula kwa mama ntilie?? Siasa nimchezo Magufuli anachezea akili za wapinzani leo hamsemi Lowasa kafanya nini cha maana mmekalia Push up????
 
Attachments

  • 1443027940697.jpg
    1443027940697.jpg
    38.1 KB · Views: 270
sasa kama magufuli anastress kisa kapga push up sasa sijui yule mwinginea alikuwa ana nini!

Huyo mwingine utamuelezea wewe. Mimi nimetoa maelezo yangu binafsi kuhusiana na Topic inayo mhusu Magufuli. Na wewe kama unayo kuhusiana na huyo mwingine wako unaweza kuyatoa pia.
 
Naomba kuuliza humu, nimemuona mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi ccm akiwa kwenye mkutano huku akiwa anapiga pushapu najiuliza je! Kule ikulu kuna gym? Mana picha yake imesambaa humu jamii forum, instagram,facebook mgombea huyu kaonekana akipga pushapu. Je ni kweli tumchague mpga pushapu au tuchague sera?
. Chuki ikua uzaa dhambi.....wewe sasa unatenda dhambi.....na kusoma hujui mpaka na picha huelewiii.
 
Atakuja afe kwa sifa huyu mzee,sijui vile vi battery vingechomoka ingekuwaje!!!

usihofu alipiga mbili tu....angeongeza ya tatu....kesho RIP Zingekuwa nyingi sana...
 
Haya Bwana Wengine Tunauza Pampers Kununua Hamtaki Kujinyea mjinyeee Sasa Sijui Mnasemaje Hapo Afu Bado Mnataka Kuingia Ikulu!
Kunya anye kuku bata kaharisha magufuli hanyi??
Pale penyewe magufuli kaji arishia sema watu tumevumilia arufu!
 
Ukweli nimezidi kumdharau kupita kiwango, wakati sisi tunaitaji mabadiliko mgombea anatuinamia mbele yetu? Hivi ana akili timamu? Hayo mazoezi angemuonyesha mke wake ili ajue nguvu zake na jinsi ya kuzimudu, kwa kweli tunataka mabadiliko tumeshadhiitisha huyu mgombea hazimo kabisa na ndiyo maana hata rais wa libya hakuwa anamjua.
 
Naomba kuuliza humu, nimemuona mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi ccm akiwa kwenye mkutano huku akiwa anapiga pushapu najiuliza je! Kule ikulu kuna gym? Mana picha yake imesambaa humu jamii forum, instagram,facebook mgombea huyu kaonekana akipga pushapu. Je ni kweli tumchague mpga pushapu au tuchague sera?

mamaee, huyu muhuni kabisaa, hatuwezi kuwa na raisi muhuni, ndo mana alihonga nyumba ya serikali kwa kimada.
 
Watanzania tusidanganywe na mgombea kupiga pushup tunachotaka niSera.na Mtu anaweza kusimamia mipango ya serikali.ikulu hatuendi kubeba zege.
 
Tulieni hii ni kete imewaangukia.
Huyo mgombea wenu mwambieni apige moja tu muone kama atainuka.

Magufuli:
He is physically and mentally fit.
 
unapokuwa jukwaani then watu hawana habari na ww inakubidi ufanye kituko japo upate attention yao unadhani wafadhili utaenda kuongea nao kwa kupga push up au maendeleo yanaletwa kwa push ups basi wanajeshi ndo wangekuwa na wafadhili na maendeleo mengi kila m2 anapga push ups kwa mkewe bhana asituletee style za michezo ya chumbani hadharani
 
usihofu alipiga mbili tu....angeongeza ya tatu....kesho RIP Zingekuwa nyingi sana...

Hahahaaa Tyta bwana?Unadhani yeye hajipendi?
Kama anajiamini apige 10 basi!
 
Last edited by a moderator:
Mwambieni Mamvi wenu apige hata Pushapu mbili kama hamjarudisha Monduli akiwa kafa...
 
Back
Top Bottom