Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Barakoa kwa wingi. Wengine hata macho huyaoniWamevaa Barakoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barakoa kwa wingi. Wengine hata macho huyaoniWamevaa Barakoa?
Anazikwa Mtambwe.......... sijui Maalimu atazikwa wapi mzee wa watu. Dar au Pemba? Hivi vifo vingeepukwa kama hatua za kujikinga zingechukuliwa seriously! Apumzike kwa amani.
... hiyo picha ni ya leo Chief? Bado kuna watu wana guts za kutovaa barakoa kwenye hadhira kama hiyo? Wallahi ujinga umetia kambi ya kudumu.
Duh! Inahuzunisha sana kwa kweli.Barakoa kwa wingi. Wengine hata macho huyaoni View attachment 1705288
Mkusanyiko.
Atakuwepo tena bila ya barakoa. Keshapigwa chanjo ya india. Anatutoa sisi kafara tu.Hahahaha, kama mazuri vile..... eti Stone tangawizi.
Ya leo hio... hiyo picha ni ya leo Chief? Bado kuna watu wana guts za kutovaa barakoa kwenye hadhira kama hiyo? Wallahi ujinga umetia kambi ya kudumu.
Tbc waboreshe ata ubora wa camera zao siyo angavu kivileTbc wapo na.mataga wanaongea.ungaji
Umeona ehhhHii picha inajiupdate yenyewe[emoji23][emoji23]
Si kwasababu amekufa na wanajua hana athari yeyote tena kwa mmiliki wa hicho kituo. Mbona hawakurusha kampeni zake hata kwa hakika moja. Ila mazishi yake watayarusha hata kwa siku tatu mkuu tumia macho yote kuangalia mambo sio kusifia tu.Hakika,chanel ten,ni kituo cha utangazaji kisicho na mfano,jinsi walivyotuletea matangazo ya moja kwa moja,ya Maziko ya Makamo wa Kwanza wa Rais,wa Zanzibar,Marehemu Seif Sharif Hamad.Mtangazaji wa Studio,anatupa habari,za kueleweka na zilivyo nzuri,na zilizopangika,zimetufanya watazamaji,tusiondoke hata dakika moja...