Yaliyojiri msiba wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif

Yaliyojiri msiba wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif

Najaribu kuangalia maazishi ya makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar Ndg Maalim Seif nimegundua jambo moja.Kwakweli ndugu zetu waislam taratibu zao za maziko ni za hovyo kabisa...
Ficha upumbavu wako mazishi siyo shughuli,usiufananishe uislamu na mambo ya hovyohovyo
 
Basi haya tuachie tu na utaratibu zetu za hovyo.

Sie tunachojali ni kumstiri Marehem na kumuombea dua na maghfira ili safari yake iwe nyepesi.

Allah Ampokee hali ya kuwa yupo radhi nae, Amiepushie mchanga mzito na Amjalie Malaika wema ndio wawe wamempokea. Laasir hii ya Alkhamis kuingia Jumua'a
Kwani wengine hawajali kumsitiri marehemu? Au hawamuombei safari iwe ya kheri? Inafika wakati mbadilike

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Jaribu kuheshimu taratibu za dini za wenzio hata kama unaichukia dini hiyo. Usioneshe chuki za wazi, kwani unapoonesha chuki za wazi basi tambua hata wenzako nao wataonesha chuki za wazi dhidi ya dini yako, kitendo ambacho utashindwa kukivumilia na kitakachofuata ni mvurugano. Tuishi humo.
Nimekuelewa mkuu.Niliona niliseme tu ila haitojirudia.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Angalia kule kushoto jirani na yule jamaa aliyevaa barakoa rangi ya zambarau nyuma yake ndipo jasusi mbobezi alipo.
 
Back
Top Bottom