Najaribu kuangalia maazishi ya makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar Ndg Maalim Seif nimegundua jambo moja.Kwakweli ndugu zetu waislam taratibu zao za maziko ni za hovyo kabisa...
Pole sana, wewe ulitaka wazike wiki ijayo, ili iundwe kamati ya mazishi, kamati ya mashada, kamati ya nguo za maiti, kamati ya sanduku la kuzikia, kamati ya chakula pilau, wali mweupe, kamati ya usafiri, kamati ya kwaya mapambio, kamati ya usafiri, utasubiri sana!!