Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Tabora: Tundu Lissu (CHADEMA), azindua Kampeni Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Chipukizi

Jiwe stone anakwambia
"Unakuta Mama ulizaa Mtoto Mwanaume akakukimbia haleti matumizi, unafika wakati wa kwenda shule huna pesa za kuwasomesha, nikasema tuwape elimu bure kuanzia shule za msingi hadi sekondari, jamani nimefanya vibaya?, mnataka mnitoe muweke wengine watakaoanza kuwalipisha kodi?”

Hiyo kauli kitaalamu ni ishara kwamba pumzi imeanza kukata, Lisu kwanni unamfanya hivyo kaka yako Jpm
 
Angalia Hiyo video tarehe yake na maelezo ni ya tarehe 30 mwezi wa nane ni ya Harmonize chadema tayari wakasema yao! Ni wasanii hasa hawa watu
Leo umelipwa elfu saba yako na polepole? Naona una njaa sana.
 
Dogo unanichekesha sana. Tayari tenda ya kumalizia Isaka tu mwanza. Na Morogoro tu Makutupora imeshatangazwa. Nafikiri unasali kila siku asimalize huu mradi. Lakini atamaliza kwa nguvu za Mungu.
Mradi wa JNHPP utakamilika soon. Tumuombe Mungu tu wala usihofu.
Hivi kusema kuwa unataka taifa liwe na viwanda ndio kusema serikali ndio ijenge viwanda? Viwanda vimeongezeka sana. Na mkoa wa kutolea mfano ni Pwani.
 
Mwisho wake ni 28/10
 
Unadebate nini kuhusu Chadema? Chama ambacho hata wananchi hawana imani nacho tena? Wahuni na matapeli wa kisiasa.
 
Ikiwa Marekani tu as Super power kuna mdahalo cjui we zumbukuku unasemaje ktk hlo?
Jibu unalo unafanya mdahalo
kujadili Ccm dhidi ya chama gani? Ccm imekuwa tamu kwa kila namna. Maana leo tu umesikia JPM alivyokuwa anatiririka namna Ccm itavyowafanyia mazuri watanzania. Sasa utadebate nini leo hii? Ccm inakubalika in short.
 
Usilinganishe Ethiopia na Tanzania. Njoo kahama watu wanakula mchele na kusaza ndio ulinganishe na nchi ambayo ina ukame miaka 40.
Haki za binadamiu zipi zinazominywa? Watu wanashinda kwenye vijiwe vya kahawa mpaka saa nne usiku wanajadili siasa.
Kahama ipi ulipo? Nyasubi, Mhongolo, Masaki ama Nyihogo? Na wewe ni mkulima? Nenda Chambo, Kilago,Chona, Ngaya, Nyamilangano na vijiji vingine nchi hii kote huko wakulima wanalia bei ya mpunga wao. Unajua ni kwa nini? Hakuna wafanyabiashara wa kununua mazao yao, wanaogopa kuja Tz kubambikizwa makosa na TRA, wanaogopa kuleta hela zao. Lissu anataka afumue TRA na mfumo huu wa one man show ili mambo yote yaende kwa haki. Sasa wewe kaa hapo Nyasubi ukisubiri jioni umpe shemeji 2000 akaje na kilo 3 za mchele bila hata kujiuliza anayeumia ni mkulima anayetegemea mazao yake kuendesha maisha. Inzi wa kijani bwana, think out of your circumference, there are cries emanating from your party's theft and unlawful attempts to oppress freedom and justice by intervening the government systems. Lissu is the one to restore all to normal functioning with clear separation of power among the government organs.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…