Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Tabora: Tundu Lissu (CHADEMA), azindua Kampeni Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Chipukizi

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Tabora: Tundu Lissu (CHADEMA), azindua Kampeni Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Chipukizi

Lisu na magufuli nani anae mkimbia mwenzake mbona magufuli anaogopa mdahalo na aliogopa siku ile alipo wekewa pingamizi wakutate mkurugenzi akaijifanya yy anajua

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kwanini Chadema mnang'ang'ania mdahalo na Magufuli? Lissu na chadema mmepewa miezi miwili na nusu muwaeleze watz mna Sera gani Sasa hamjamaliza mnaanza kutaka mdahalo. Katambi atakuja badala ya Magufuli, huyo ndo size yenu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: nao
Dar es salaam bi kubwa ina watu wengi. Imagine ibgekuwa mjutano mmoja wa Jangwani watu wale waliokusanyika Mbagala, Kawe na Tabata ingekuwaje??
Chadema chama la watu wenye akili. Kulikuwa hakuna sababu ya kusumbua wakazi wa temeke, kigamboni, buza, chamanzi kuja Mkutanoni Jangwani Ilala. Ikabidi Rais Mtarajiwa awakute huko huko kqa daida ya kuwafikia wengi kwa gharama ndogo na bila usumbufu wa mafoleni.

So mkutano wa Lissu Dar unganisha yote mbagala, kawe na Segerea. Ile ni sayansi sio utopolo wa ccm
Akili kubwa
 
Kwa Mujibu wa ratiba ya kampeni iliyotolewa na Chadema inaonyesha kwamba Mh Tundu Lissu leo atakuwa Tabora

=====

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA TUNDU LISSU leo Septemba 3, 2020, atazindua kampeni kwa Kanda ya Magharibi, uzinduzi ambao utafanyika katika viwanja vya Chipukizi mkoani Tabora.

Kwani.mgombea hajafika? Mbona watu ni wachache.
 
Kwa Mujibu wa ratiba ya kampeni iliyotolewa na Chadema inaonyesha kwamba Mh Tundu Lissu leo atakuwa Tabora

=====

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA TUNDU LISSU leo Septemba 3, 2020, atazindua kampeni kwa Kanda ya Magharibi, uzinduzi ambao utafanyika katika viwanja vya Chipukizi mkoani Tabora.

Leo picha kamera hazinyanyuki juu😁😁😁😁 kisha mbona mnatumia nguvu nyingi sana mpaka midomo inatoa moshi?
Yaani mzajaza hasira mioyoni mwenu kisha mtapata sonona.
 
Kwa Mujibu wa ratiba ya kampeni iliyotolewa na Chadema inaonyesha kwamba Mh Tundu Lissu leo atakuwa Tabora

=====

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA TUNDU LISSU leo Septemba 3, 2020, atazindua kampeni kwa Kanda ya Magharibi, uzinduzi ambao utafanyika katika viwanja vya Chipukizi mkoani Tabora.

Wameenda kulaghai wazee mmoja ana miaka 54 mwingine 65 wanatoka dar wakachome ofisi za chadema Arusha??
Hanthens!
 
Lissu Baba tukomboe katika hii vita ya kuminywa haki za binadamu. Ethiopia na madege yao Kama yote Pamoja na fly-overs lakini wanakimbia nchi kwenda kuwa manamba South Africa kwa uminywaji wa haki za binadamu nchini kwao.

Lissu tuvushe baba tuvuahe.
Salama ya Magufuli ni Jeshi la Akiba.

Mambo ya Hezbollah, Taliban, Qurdi, Al-shabaab, Al-qaida walianza kama vikundi vya Magu vya Jeshi la Akiba.
 
Magufuli anaongea straight na wapiga kura. Akaongee na Lisu kwenye mdahalo wa nini wakati sio mpiga kura wake

Sema Lisu anahamgaika kutafuta media attention iliyomwacha kuwa akiwa na Magufuli na yeye atarushwa hewani asikike
Tatizo la Lissu na saccos yao wanalazimisha Mambo ambayo hayawezekani I'll wajenge hoja. Kwani lazima tundu Lissu aongee na Magufuli? Kama wanataka mdahalo wafanye Kuna wagombea urais zaidi ya 10 na hawajafanya mdahalo hata na mmoja kisa wanataka rais aache shughuli zake akaongee na huyo poyoyo wenu. Kafanyeni mdahalo na hao wengine mkimaliza ndo mseme kuhusu rais.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kila la heri Rais wa awamu ya sita Mhe Tundu Antipas Lissu....kama ambavyo hawaamini risasi 16 haijakuzima, vivyo hivyo hakuna wakukuzima October 28 kuingia Ikulu
labda Rais Wa mapaka Shume
 
Nomba picha hata moja tu ya mafuriko makamanda
 
Ah huyu Magufuli ni mweupe sana. Hawezi kujibu hata hoja moja ya Lissu
Watu alionao waziri mkuu longido wanazidi wa hapo tabora sasa lisu atapita mlangao gani?
Sehemu pekee ya kukimbia akichomoka ni kupitia dirishani, baada ya kichapo cha mbwa mwizi.
 
He he hep he⁹ he he he heeeeee⁹ sera za kutaka Magufuli weeeeeee.ndiyo dare zipo hizo. Kubwabwaja kwamisemo ya kimahaka ndiyo nini. Kujenga kiwanjwa cha ndege ni nongwa. Kwani ni vibaya kujenga kwenu?
 
Magufuli anaongea straight na wapiga kura. Akaongee na Lisu kwenye mdahalo wa nini wakati sio mpiga kura wake

Sema Lisu anahamgaika kutafuta media attention iliyomwacha kuwa akiwa na Magufuli na yeye atarushwa hewani asikike
Magufuli ndio akina Joe Biden, hawezi kuthubutu kwenda kwenye mdahalo hata kama itagharimu urais, yuko radhi apoteze.

Unajua kwenye mdahalo kuna maswali atalimwa na anatamani ardhi ipasuke aingiemo au unataka nikupe kionjo cha baadhi ya maswali..!!
 
He he hep he⁹ he he he heeeeee⁹ sera za kutaka Magufuli weeeeeee.ndiyo dare zipo hizo. Kubwabwaja kwamisemo ya kimahaka ndiyo nini. Kujenga kiwanjwa cha ndege ni nongwa. Kwani ni vibaya kujenga kwenu?
Sasa si aende huko kwao akawaombe kura basi.
 
Watu kiduchu
IMG_20200903_162112.jpg
 
Back
Top Bottom