Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Huo ni wajibu wa serikali kuwaletea watu miundombinu mbali mbali ikiwemo maji. Labda wananchi ambao hawajui wajibu wa serikali kwao.Mradi wa maji toka ziwa victoria umeshammaliza. Ccm wanazoa kura zote Tabora. Maana huu mradi umewapa credit kubwa sana ya kisiasa Ccm. Akina mama wa kinyamwezi hawawezi kumsikiliza mtu anaesema kuletewa maji tabora ni maendeleo ya vitu.