Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Tabora: Tundu Lissu (CHADEMA), azindua Kampeni Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Chipukizi

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Tabora: Tundu Lissu (CHADEMA), azindua Kampeni Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Chipukizi

Mradi wa maji toka ziwa victoria umeshammaliza. Ccm wanazoa kura zote Tabora. Maana huu mradi umewapa credit kubwa sana ya kisiasa Ccm. Akina mama wa kinyamwezi hawawezi kumsikiliza mtu anaesema kuletewa maji tabora ni maendeleo ya vitu.
Huo ni wajibu wa serikali kuwaletea watu miundombinu mbali mbali ikiwemo maji. Labda wananchi ambao hawajui wajibu wa serikali kwao.
 
Hivi ni kwanini kila Mkutano wa Lisu mnaita ni ya uzinduzi wa kampeni? Na kule Mbagala Zakhiem mlizindua nini?
Ccm bana, hamkawii kusema neno uzinduzi ni mali ya TID na mna hati miliki, kwani wakisema uzinduzi wewe unapungukiwa nini
 
Huo ni wajibu wa serikali kuwaletea watu miundombinu mbali mbali ikiwemo maji. Labda wananchi ambao hawajui wajibu wa serikali kwao.
Ndio ujue Ccm imetimiza wajibu wake. Maana kuna serikali viongozi wanatafuna pesa tu. Kwa hiyo hukuru Ccm kwa kupambana na wabadhirifu.
 
Lisu na magufuli nani anae mkimbia mwenzake mbona magufuli anaogopa mdahalo na aliogopa siku ile alipo wekewa pingamizi wakutate mkurugenzi akaijifanya yy anajua

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Magufuli anaongea straight na wapiga kura. Akaongee na Lisu kwenye mdahalo wa nini wakati sio mpiga kura wake

Sema Lisu anahamgaika kutafuta media attention iliyomwacha kuwa akiwa na Magufuli na yeye atarushwa hewani asikike
 
Ndio ujue Ccm imetimiza wajibu wake. Maana kuna serikali viongozi wanatafuna pesa tu. Kwa shukuru Ccm kwa kupambana na wabadhirifu.
Sasa hilo ni jambo ambalo haliwezi kuwabeba kwa sababu hata hao wapiga kura wasipokichagua hicho chama, maji waliyoyaleta yataendelea kuwepo, Raia wa maeneo hayo wasifanye makoda chagueni haki dhidi ya dhulma.
 
Ah huyu Magufuli ni mweupe sana. Hawezi kujibu hata hoja moja ya Lissu
Magufuli ananadi ilani ya chama chake so usitegemee atapoteza muda kujibu mipasho ya Lissu na jamaa zake
 
Chadema wanasubiri giza liingie ndio waanze kuleta picha za video walzoedit na picha zilizoeditwa zenye giza giza kuwa ndizo za mapokezi na mkutano wa Lisu Tabora
 
Chadema wanasubiri giza liingie ndio waanze kuleta picha za video walzoedit na picha zilizoeditwa zenye giza giza kuwa ndizo za mapokezi na mkutano wa Lisu Tabora
@ChademaMedia
 
Back
Top Bottom