Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Tabora: Tundu Lissu (CHADEMA), azindua Kampeni Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Chipukizi

Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Tabora: Tundu Lissu (CHADEMA), azindua Kampeni Kanda ya Magharibi katika viwanja vya Chipukizi

Usilinganishe Ethiopia na Tanzania. Njoo kahama watu wanakula mchele na kusaza ndio ulinganishe na nchi ambayo ina ukame miaka 40.
Haki za binadamiu zipi zinazominywa? Watu wanashinda kwenye vijiwe vya kahawa mpaka saa nne usiku wanajadili siasa.
Masikini wengi wanadhani maisha ni kula tu , kuna haja ya kuwakomboa kifikra
 
Lisu kamkimbia JPM ilikuwa wakutane Tinde wasalimiane, Lissu akazuga kwenda kwanmganga wakienyeji alikopitia sijui kaibukia tabora
Mlivyo washirikina mnafikiri kila mtu anaamini huo ushetani.
 
Lema alifungwa kwa kuota ndoto
Sugu alifungwa bilawhatia Ilse ni kwa amri kutoka juu.
Tundu Lissu alipokwa ubunge akiwa mgonjwa. Ni mengi sana.
Ahaa, kumbe hukuona hatia zao? Mbona wewe hujakamatwa na kufungwa.Upo hapo umevaa gwanda limebana makalio yako unatype kwa uhuru?
Lissu alikuwa Mgonjwa? Mgonjwa anazunguka Ulaya na Us huku anatukana viongozi?
 
Lisu kamkimbia JPM ilikuwa wakutane Tinde wasalimiane, Lissu akazuga kwenda kwanmganga wakienyeji alikopitia sijui kaibukia tabora
Ni kweli mkuu.
Screenshot_2020-09-03-10-56-57-1.jpg
 
Bwashee leo ITV utaangalia ukiwa wapi? Mimi na mzee Magufuli tutakuwa Shinyanga tukiangalia kama tutaweza kuambulia tupoint tule twepesi twa kujibu kesho ila tukishindwa kupata majibu tutaendelea kuserereka na zahanati flyover na ndege
Hivi ITV wanaonesha kampeni za CDM? Napata tabu kuzipata hadi niende YouTube kuangalia vipande.
 
Usilinganishe Ethiopia na Tanzania. Njoo kahama watu wanakula mchele na kusaza ndio ulinganishe na nchi ambayo ina ukame miaka 40.
Haki za binadamiu zipi zinazominywa? Watu wanashinda kwenye vijiwe vya kahawa mpaka saa nne usiku wanajadili siasa.
Vipi meno hayaathiriki?,,maana kutafuna mchele si mchezo,,naomba unitumie mbegu ya mchele nami msimu unao nianzishe kilimo cha mchele huku dodoma.
 
Mradi wa maji toka ziwa victoria umeshammaliza. Ccm wanazoa kura zote Tabora. Maana huu mradi umewapa credit kubwa sana ya kisiasa Ccm. Akina mama wa kinyamwezi hawawezi kumsikiliza mtu anaesema kuletewa maji tabora ni maendeleo ya vitu.
We dhaifu sana kuleta maji sio hoja wametumia kodi zetu tena sio bure wamelipwa mishahara na posho kibao. SISI WATANZANIA NDIO WATU WAJINGA SANA MAANA NI WEPESI KUDANGWANYWA.
 
Back
Top Bottom