mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
#kapumzikechato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuweweseka leta hoja za TL kama zipo bwashee!Jinga wew
Wenzio wanasema ni kishindo cha awamu ya tano ww unadai ni KIkwete hahahah ngoja wakusikie.Kwani mradi wa maji kutoka Mwaanza kwenda Shinyanga si umeanza tokea awamu ya nne? Jambo ambalo mnatakiwa kujua ni kuwa ni utekelezaji wa Ccm kuwapatia maendeleo wananchi tokea tunapata uhuru.
Dogo unanichekesha sana. Tayari tenda ya kumalizia Isaka tu mwanza. Na Morogoro tu Makutupora imeshatangazwa. Nafikiri unasali kila siku asimalize huu mradi. Lakini atamaliza kwa nguvu za Mungu.
Mradi wa JNHPP utakamilika soon. Tumuombe Mungu tu wala usihofu.
Hivi kusema kuwa unataka taifa liwe na viwanda ndio kusema serikali ndio ijenge viwanda? Viwanda vimeongezeka sana. Na mkoa wa kutolea mfano ni Pwani.
😆😆😆Wenzio wanasema ni kishindo cha awamu ya tano ww unadai ni KIkwete hahahah ngoja wakusikie.
Ndo ukiamka asubuhi ukiwa kwa dadako unamsalimie hivyo shemeji yako kuwa "bwashee"Acha kuweweseka leta hoja za TL kama zipo bwashee!
Hahahaaaa...... Kumbe wewe ni manka, sorry!Ndo ukiamka asubuhi ukiwa kwa dadako unamsalimie hivyo shemeji yako kuwa "bwashee"
Kwani mradi wa maji kutoka Mwaanza kwenda Shinyanga si umeanza tokea awamu ya nne? Jambo ambalo mnatakiwa kujua ni kuwa ni utekelezaji wa Ccm kuwapatia maendeleo wananchi tokea tunapata uhuru.
Mkuu na hiyo mikungu ya ndizi kwenye avatar unahangaika kishenziTuletee oblique view
Unadebate nini kuhusu Chadema? Chama ambacho hata wananchi hawana imani nacho tena? Wahuni na matapeli wa kisiasa.
Ha Haa. Utaambiwa Lissu alikuwa hajafika
Leo vile vijibwa vinavyoitwa jeshi la akiba vipo hapo? 🤣 🤣Acha uongo ww pimbi, hzo picha ni za asbh ..picha ya sasa hii hapa View attachment 1557600
ulijiandaa kuchafua uzi ili ulipwe na polepole lakini tumekudhibiti kudadeki !
Nashauri awe anasubiri anakopita CCM baada ya siku 2 Lissu anaenda kuzima hoja
Hivi bodaboda ni wanachama wa chadema wanakuwa wengi sana kwenye mikutano yao au ndio zile 5,000/-
Hawa mbwa wa lumumba leo wamepata cash. Maana si kwa kubwekabweka huko, akina hidaya na wenzie.. 😁 😁 😁Leo umelipwa elfu saba yako na polepole? Naona una njaa sana.
Manyumbu mnajifariji yaani hamtaki ukweli. Ngoja mtapata wabunge hata watano hawafiki.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app