Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Mustakabali wa taifa juu ya chama gani kinafaa kutupatia viongozi wa vyombo vya dola.Kwani debate ya uchaguzi ni debate dhidi ya vyama vya siasa au mustakabali wa taifa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mustakabali wa taifa juu ya chama gani kinafaa kutupatia viongozi wa vyombo vya dola.Kwani debate ya uchaguzi ni debate dhidi ya vyama vya siasa au mustakabali wa taifa?
Hapa wapi ?Kuna mikoa mambo hayako vizuriView attachment 1557601
Nilikuwa nafafanua kuwa marais wa Ccm wekuwa wanapokezana vijiti kutuletea maendeleo.Kwani ni chama gani kingine kimekaa madarakani muda wote mpaka useme ni jukumu la chama kingine kuleta maendeleo? Ama hujui uanoongea nini?
Furaha kwa ccm mkuuBora mnanvyo ungaunga picha Maana si Kwa aibu hiyo
Tulisema mapema, Watanzania ni watu wanaoona mbali Sana kuhusu mienendo ya wanaotaka kuwaongoza, ni wadadisi wa mambo, unaweza ukaja na Moto na Moto huo ukaishia njiani, ndio kama huyo mgombea wenu, ni aheri angelikuwa Nyalandu
Mustakabali wa taifa juu ya chama gani kinafaa kutupatia viongozi wa vyombo vya dola.
Unaleta mifano na propaganda za kipuuzi. Fastjet waliondoka sababu walikuwa ni matapeli. Total hawajaondoka ila wanauza filling stations zao. Acha kuishi maisha ya kwenye mtandao. Nenda Pwani ukajionee kwa macho yako.Kutangaza tender Ni jambo rahisi kuliko yote dunia hiii, kutekeleza ni jambo jingine kabisa. Sina chochote cha kusali maana sina nitakachopoteza kwa uwepo wa huo mradi. Mradi wa SG utakuwa soon ya lini? Maana huo mradi wa SGR wenyewe tuliambiwa kipande Dar-Moro kitakuwa tayari soon toka 2017, ila mpaka sasa mwaka mmoja mbele bado zinatajwa asilimia tu kipande hicho kikamilike.
Utamuita nani awekeze viwanda kwenye nchi ambayo maamuzi ya nchi yanategemea utashi wa rais? Ni mwekezaji gani wa viwanda wa maana haoni serekali hii inavyosumbua sekta binafsi chini ya awamu hii na kuhodhi biashara? Rejea ndege za fast jet, total juzi imefungasha nk.Au unadhani wawekezaji wa viwanda ni sawa na viongozi wa upinzani waliohamia ccm kuunga juhudi? Ukitaka kujua ni ngumu kuita wawekezaji wa viwanda, fuatilia JK aliyekuwa anazunguka dunia nzima kusaka wawekezaji na kuishia kuwapata kiduchu. Kama huko pwani kungekuwa na viwanda vya kutambia, neno Tanzania ya viwanda lisingekauka kwenye kampeni hizi.
Unaleta mifano na propaganda za kipuuzi. Fastjet waliondoka sababu walikuwa ni matapeli. Total hawajaondoka ila wanauza filling stations zao. Acha kuishi maisha ya kwenye mtandao. Nenda Pwani ukajionee kwa macho yako.
Bonge moja la wazoNashauri awe anasubiri anakopita CCM baada ya siku 2 Lissu anaenda kuzima hoja
NAKUHAKIKISHIA UKIANDALIWA MDAHALO WA WAZI NA WA PAMOJA WA WAGOMBEA WOTE WA URAIS. Hon.MAGUFULI HATOTOKEA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lisu ana hoja gani?
Havijaja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chezea lissu weye?? Tabora ni full nyomi..hatujawahi kufeli ..this is chadema chama la wanaLeo vile vijibwa vinavyoitwa jeshi la akiba vipo hapo? [emoji1787] [emoji1787]
Hawezi kutokea maana kujibu hoja kwake ni mwiko..anajibu kwa risasiNAKUHAKIKISHIA UKIANDALIWA MDAHALO WA WAZI NA WA PAMOJA WA WAGOMBEA WOTE WA URAIS. Hon.MAGUFULI HATOTOKEA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani uliposikia Tanzania ya viwanda ndio ulijua utakuwa unaona viwanda kila kona! Mimi najua Pwani viwanda vipo vya kutosha lakini sio hoja ya wewe kusema wewe vijana wote Dar wakatafute kazi pwani. Nchi kuwa ya viwanda sio kila mtaa uone kiwanda.Narudia tena, hawa vijana wote hapa Dar wangehamia huko pwani ili kupata ajira, kama kungekuwa na viwanda kwa maana ya Tanzania ya viwanda. Hivyo viwanda vya Pwani ni mpaka niende, mbona Kenya hapo najua wana viwanda na sijaenda kuviangalia? Hizo nchi za viwanda nazijua na sijaenda kuviangalia. Utacheka kichina safari hii dogo.
Acha kupotosha umma. Kila rais aliyongoza Tanzania alifanya mazuri yake. Ndio maana hata JPM anasisitiza juu ya hili. Ni mwendo wa kupokezana kijiti tu kwa manufaa ya watanzania.Wenzio wanasema ni kishindo cha awamu ya tano ww unadai ni KIkwete hahahah ngoja wakusikie.
Kwani uliposikia Tanzania ya viwanda ndio ulijua utakuwa unaona viwanda kila kona! Mimi najua Pwani viwanda vipo vya kutosha lakini sio hoja ya wewe kusema wewe vijana wote Dar wakatafute kazi pwani. Nchi kuwa ya viwanda sio kila mtaa uone kiwanda.
Kazi gani? Kuchoma mafuta na kupoteza muda kwa mgombea wa Chadema?Safari hii kazi ipo.
Ikiwa Hadi Leo mnaamini Corona bado ipo Tanzania na inakuwa makumi ya watu, Utaamini viwanda vilivyojengwa Kwa wingi maeneo ya mapinga Hadi unafika chalinze viwanda vimepangana vipya vipyaNarudia tena, hawa vijana wote hapa Dar wangehamia huko pwani ili kupata ajira, kama kungekuwa na viwanda kwa maana ya Tanzania ya viwanda. Hivyo viwanda vya Pwani ni mpaka niende, mbona Kenya hapo najua wana viwanda na sijaenda kuviangalia? Hizo nchi za viwanda nazijua na sijaenda kuviangalia. Utacheka kichina safari hii dogo.
Ikiwa Hadi Leo mnaamini Corona bado ipo Tanzania na inakuwa makumi ya watu, Utaamini viwanda vilivyojengwa Kwa wingi maeneo ya mapinga Hadi unafika chalinze viwanda vimepangana vipya vipya
Maana nyie mkikubali mnahisi mtakufa