Zanzibar 2020 Yaliyojiri Tibirizi, Pemba mkutano wa kufunga kampeni ya Maalim Seif. Tundu Lissu ahudhuria

Zanzibar 2020 Yaliyojiri Tibirizi, Pemba mkutano wa kufunga kampeni ya Maalim Seif. Tundu Lissu ahudhuria

Mkuu mbona kwa muda mrefu kila nikisoma jumbe zako nyingi zinahusiana na mambo ya GIZANI vipi unahusika kikamilifu au unajaribujaribu
[emoji848][emoji3064][emoji3][emoji40][emoji40][emoji40]mkuu kuna kolonya vaa balakoa
 
Wapemba hawataki masikhara Nyomi ya Hatari halafu wote wamejiandikisha
 
Aisee......nimekuelewa Mkuu.
[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]
 
MAALIM seif anajivua uanachama ACT WAZALENDO kwa mara ingine

View attachment 1608074
haka ka section kwa kweli tumekaona kanafaa mno.... ni kizuri kanapendeza sasa naona tukaweke kwenye ilani yetu ya chama cha mapinduzi...wananchi watatuelewa tu kwa hizi dk za lalasalama - you never know... game huwa ni dk 90.
 
Kibirizi mambo ni motooo!!
[emoji322][emoji322][emoji322][emoji323][emoji323][emoji323][emoji298][emoji298][emoji298][emoji298][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji952][emoji952][emoji952][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Pemba huijui ni ngome ya vyama vinne kuna CCM Pemba ndiko alikozaliwa Raisi Mohamed Shein na ndiko alikozaliwa mama Siti Mwinyi mama yake mgombea uraisi wa sasa wa Zanzibar Hussain Mwinyi pili Pemba ni ngome ya chama cha CUF cha Lipumba tatu Pemba ni ngome ya chama cha ADC cha Hamad Rashid Mohammed kimeshatoa hadi waziri wa serikali ya Zanzibar Kule cha nne ni ACT Maalim Seif Pemba atashindwa mapema tu asubuhi

Yehodaya naye ni mpemba kindaki ndaki mtarajiwa. Ndiyo maana anazijua siasa za Pemba vilivyo.
 
Leo CCM Nchi Nzima Masikio Ni Pemba Kujua Nini Kinakwenda Kuongelewa, Kesho Utasikia Pole Pole Anaongea Na Wana Habari Kupooza Joto
CCM mwaka huu wanalo,wasubiri tarehe 28/10/2020 yatakayowakuta hawataamini.Tulijaribu sana kuwakumbusha wajibu wao wa kusimamia utoaji wa Haki za binadamu bali walijiona kuwa miaka mitano ni milele maana walikuwa wakitamba na kuwakejeli wananchi kwa chaguzi za marudio baada ya viongozi wa upinzani waliounga mkono juhudi za Mzee Baba!Wamechezeza sana raslimali na hazina ya Taifa letu la Tanzania.
Sikio la kufa halisiki dawa.Tutaenda kuchagua Uhuru,Haki kwa Maendeleo yetu.
 
Back
Top Bottom