Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Sasa hivi wapinzani wanarelax tu na kushangilia mama anaupiga mwingi ikifika wakati wa uchaguzi mnaanza kususa. Hakuna chama mbadala wa CCM. Wapinzani wenyewe ndio hao ? Hauko serious.
Huu ni upumbavu, why utegemee watu wakupiganie?,ni uzuzu na uoga wako ndio unakutia woga na kama kawaida ya watanzania unassuming tatizo kwa watu wengine, wewe unakimbilia humu kwenye comfort zone, Kenyans wamemwaga damu kufikia stage hii ya democracy in the making, matokeo yanatoka hata mimi niliyepo huku lingusenguse ninayaona straight, kwetu one person anabadilisha matokeo ya nchi nzima na kunguru wote wanainamisha vichwa chini na kulalama kwenye key boards. Pigana no one will fight your battles
 
Hapa nitakuletea Matokeo ya Urais nchini Kenya Kama yanavyoendelea kutangazwa na tume ya Taifa ya UCHAGUZI na Mipaka ya IEBC. Hapa nitaleta matokeo ya Wagombea 2 TU Vigogo ambao ndio Kura zao zinakaribiana Sana.

Raila Odinga - 49.40 %

William Ruto - 49.33%

Total Votes Counted : 2,496,312.
Bongo ingekuwa 96% CCM

tunaujinga mwingi tz
 
Maazimio ya mwaka 2008 ndo yataamua rais wa kenya awe nani. Jk aliyeshiriki kuandaa maazimio hayo ndo mwangalizi mkuu wa huo uchaguzi
Acha uchawi mkuu,maamuzi yapo wazi na kila mtu duniani mwenye interesting nayo anayaona live,President kikwete ni mwizi wa kura, welldone Kenyans kwa kutounyesha democracy in the making
 
Ni mapema sana aisee, hizo ni kura chache, siasa za Kenya ni za kimajimbo so utashangaa zikihesabiwa tu sehemu ambako Odinga anaushawishi anapindua meza, mfano mida ya saa saba Odinga alikuwa akiongoza, akaondolewa then mida ya saa kumi na moja Odinga alikuwa akiongoza na sasa ni Ruto.
 
Upepo umebadilika: Approximately Ruto 51% vs Raila 49%
Ruto amefanikiwa kumzidi Raila kwenye kituo alichopigia kura Uhuru Kenyata na kwenye kituo alichopigia kura Martha Karua (running mate for Raila)!
This is a dangerous sign for Raila Odinga at all proportions! It is a bitter pill to swallow for Mr Odinga bearing in mind that Uhuru Kenyata and Martha Karua were expected to uplift significantly Odinga's votes at their respective polling stations!
This proves only one thing: Tribalism cannot be moved by anyone!! Voting along tribal lines favors Ruto because of the numbers!!
 
Sasa wajaluo wanasemaje?
 
Nilishatabiri Ruto ndie Rais ajaye wa Kenya. Na makamu wake Brilliant Ragath Gachagua. Mungu hawezi kumruhusu Raila awe Rais. Tunataka future iliyotengamaa Africa Mashariki na maziwa makuu kwa ujumla. Na huu mustakabal ni Ruutoo tu.
FUTUHIIII, ndiyoooo….. ni FUTUHI.
 
Back
Top Bottom