Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Unaambiwa In Mt. Kenya Region the MPs, Senators, Governors, Wen Rep who were considered lethal and could be near Rao have all been sent home by the People.
.
Not even a single ones was spared. Kwa hyo UDA Took all seats [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1316]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Can't understand if you're a reporter or just UDA fan.
 
Huu ndo uchaguzi sasa sio viini macho vyenu. Raila asipokaa vizuri ndo basi tena.Update zaidi zinakuja.
20220810_074246.jpg
 
Lol! Mtu mwenye miaka 55 hayuko matured enough?
Unajua yeye ni nani Kenya?
Unajua Raila hafui dafu kwa Ruto and he knows it?

Yani Ruto angezalisha at the age of 22 mwanawe wa kwanza angekuwa na umri wa miaka 33
Am sure huna hata 30
He's your Daddy wekelea heshima mbuni wewe
Ruto ana mtoto mkubwa tu tena ni advocate
 
Hayo ni maoni yako kuwa Tanzania hakuna upinzani. Kwanini hamsemi ukweli kuwa Tanzania CCM na dola wanashirikiana kuonea wapinzani?....
Sasa hivi wapinzani wanarelax tu na kushangilia mama anaupiga mwingi ikifika wakati wa uchaguzi mnaanza kususa. Hakuna chama mbadala wa CCM. Wapinzani wenyewe ndio hao ? Hauko serious.
 
Hapa nitakuletea Matokeo ya Urais nchini Kenya Kama yanavyoendelea kutangazwa na tume ya Taifa ya UCHAGUZI na Mipaka ya IEBC. Hapa nitaleta matokeo ya Wagombea 2 TU Vigogo ambao ndio Kura zao zinakaribiana Sana.

Raila Odinga - 49.40 %

William Ruto - 49.33%

Total Votes Counted : 2,496,312.
 
Nilishatabiri Ruto ndie Rais ajaye wa Kenya. Na makamu wake Brilliant Ragath Gachagua. Mungu hawezi kumruhusu Raila awe Rais. Tunataka future iliyotengamaa Africa Mashariki na maziwa makuu kwa ujumla. Na huu mustakabal ni Ruutoo tu.
 
Back
Top Bottom