Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Ya mungu ni mengi. Huyu jamaa anaejiita hustle au William ruto .Ameamua kuingia vitani kusaka tiketi ya kuingia ikulu wakati mwenzake uhuru kenyata akichagua kuingia mzima mzima mikononi mwa raila odinga aliyewahi kuwa hasimu wake mkubwa .

Urafiki hauonekani kama utadumu ikiwa ruto atachukua nchi na uzuri wa Katiba ya Kenya .I ebc haiingiliwi na mtu yeyote.

Hofu yangu ni kama ruto atashinda nini kitatokea ? Ruto hata ukimuangalia tu usoni .anakisasi moyoni ,anahisi ametelekezwa jangwani .itakuwaje akishika Dola? tuache muda utaongea ila Kuna dalili ya uhuru kukabidhi nchi Kwa William ruto!!!
 
Kitui
Ruto 3455
Raila 856

Kajiado
Ruto 1258
Raila 254

Kilifi
Ruto 2243
Raila 754

Taita taveta
Ruto 3867
Raila 1020

Narok
Ruto 2875
Raila 674

Machakos
Ruto 3228
Raila 1213
 
Back
Top Bottom