sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
voter suppression,Mkuu kwanini unaposti kitu ambacho hakijakamilika!!!???
Wakati unajua fika kura bado zinahesabiwa!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
voter suppression,Mkuu kwanini unaposti kitu ambacho hakijakamilika!!!???
Wakati unajua fika kura bado zinahesabiwa!?
Wachane haowabongo acheni shobo kutwa kusakama vya kwenu mkiambiwa andamaneni mnajificha. Wenzenu wakenya wakipigania jambo wanajivika ushujaa ndo maana wapo hapo walipo
Isije kuwa kama yale mambo ya Lowasa kipindi kile yakatangazwa kwanza matokeo yenye upepo mzuri kwa Lowassa mambo kugeuka dah JPM yuleeeeMkuu kwanini unaposti kitu ambacho hakijakamilika!!!???
Wakati unajua fika kura bado zinahesabiwa!?
Mambo kama hayo ndio hupelekea machafukoIsije kuwa kama yale mambo ya Lowasa kipindi kile yakatangazwa kwanza matokeo yenye upepo mzuri kwa Lowassa mambo kugeuka dah JPM yuleeee
Vp ww jamaa!!!! Raila akiongoza huleti posti. Unasubiri za Ruto!!????
Sawa kabisa hawa wanaoleta nusu nusu wanatuchanganyaNadhani tupeane taarifa za jumla badala ya vituo mfano Ruto anaongoza kwa kura 11000 source ,
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Wapi !!???Ruto 22,500
Odinga 19,400
Sasa wale wahuni wanaposti vipisi vipisi kama vya sigara wanatoa wp!!??
Lel nimeamini Kenya ni nchi yenye ukabila hatari