Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruto said......Mkuu...hakuna sentensi isemayo;
1. Ruto is say...eidha iwe
A) Ruto says= husema
B) Ruto is saying=anasema sasa
Uko sahihi ila watu wabishi humu hawataki kukubali hiloyanayoendelea Kenya yanaweza yasiishe salama, inaonekana Ruto analeta balaa huko na wakubwa hawaamini wanatafuta cha kufanya Odinga apenye, Tuwaombee hawa ndugu zetu.
Ruto ni Rais.Ngumu kumesa
William Rutto anaongoza
Lakini siyo rahisi kupata 50% + 1
Hii ni aibu kubwa kwako,bora ungekaa kimya.Tukikuuliza ulijuaje unaweza kutupa jibu la uhakika?Kwani ni uongo ni kweli hajatahiriwa!
Au unataka aseme ametahiriwa wakati si kweli
50%+ votes.Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imekamilisha kuhesabu Kura kutoka vituo 46,203 kati ya vituo 46,229 ambapo bado vituo 26 ili kupata jumla ya Kura zote
-
Kwa mujibu wa Matokeo ya Nation Media kufikia leo saa 11:20 jioni, Mgombea Urais wa UDA, William Ruto bado alikua akiongoza kwa idadi ya Kura 6,703,493 = (49.91%) dhidi ya Raila Odinga, Mgombea wa Azimio mwenye Kura 6,636,849 = 49.41%
-
Mshindi wa Kiti cha Urais anahitaji kupata 50% ya kura halali zilizopigwa, pamoja na 25% ya kura kutoka kwenye kaunti 24
Uchaguzi utarudiwaRuto ni Rais.
50% + Kura MOJA HALALI.
Mfano
Total votes 1201
Cand 1 amepata 601
Cand 2 amepata 600
Ukiweka kwa % hao wote itasoma 50% but kuna mmoja hapo amepata 50% + Kura moja.
Kama ni hivyo si waendelee sasa kutoa hizo provisional results? Mbona media zote wamestop?IEBC imetoa taarifa ikasema system yao ni imara kabisa na propaganda hio hakuna
Bado nasisitiza hata huu pia ni mtazamo wako binafsi.Eti Bomas wanakanyagana wakati sote tunaangalia live.Hata ukiwasikiliza pale Bomas wanakanyagana tu hali ishakua tete
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
IEBC imetoa taarifa ikasema system yao ni imara kabisa na propaganda hio hakuna
Hata wao wenyewe wameshaanza kulalamika, au unaangalia channels zipi mkuu. KTN pundits wale maprofesa wamehoji sana kwa nini ghafla matokeo ya uraisi yamekoma kutangazwa na hao tume hawasemi kitu.
Nyinyi mnaangalia uchaguzi wa nchi gani na station zipi?Kama ni hivyo si waendelee sasa kutoa hizo provisional results? Mbona media zote wamestop?
RUTO AMESHINDAJaman si wamtangaze tyuuh Odinga huyu mzee, khaaah kura hizo walipiga bara zima? Khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi leo bado tyuuh, mzee ashakodi lorry la kubeba vitu kuhamia ikulu. Sasa mnacheleweshaa.
Cocastic Odinga [emoji16][emoji16][emoji16].Jaman si wamtangaze tyuuh Odinga huyu mzee, khaaah kura hizo walipiga bara zima? Khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi leo bado tyuuh, mzee ashakodi lorry la kubeba vitu kuhamia ikulu. Sasa mnacheleweshaa.
Bado vituo kama 4,000 weweTume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imekamilisha kuhesabu Kura kutoka vituo 46,203 kati ya vituo 46,229 ambapo bado vituo 26 ili kupata jumla ya Kura zote
-
Kwa mujibu wa Matokeo ya Nation Media kufikia leo saa 11:20 jioni, Mgombea Urais wa UDA, William Ruto bado alikua akiongoza kwa idadi ya Kura 6,703,493 = (49.91%) dhidi ya Raila Odinga, Mgombea wa Azimio mwenye Kura 6,636,849 = 49.41%
-
Mshindi wa Kiti cha Urais anahitaji kupata 50% ya kura halali zilizopigwa, pamoja na 25% ya kura kutoka kwenye kaunti 24