BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
TUME YAKANUSHA TAARIFA ZA MIFUMO YAKE KUDUKULIWA
Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imewatoa hofu wananchi juu ya uwepo taarifa za mifumo yake ya Kura kudukuliwa
Mkurugenzi Mtendaji wa IEBC, Marjan Hussein Marjan amesema taarifa zinazoenea kuhusu tovuti ya matokeo kuingiliwa sio za kweli na amewakikishia Wakenya kuwa wamechukua hatua za kujilinda katika ngazi zote
Marjan amekiri kuwa wadukuzi walijaribu kufanya hivyo lakini mifumo ya IEBC haikuwa dhaifu, na kuongeza kuwa wamekuwa wakifuatilia mifumo yote ikiwa ni pamoja na mtandao, programu, hifadhidata na mfumo wa uendeshaji ili kuzuia majaribio yote ya udukuzi