Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Daah ntammiss sana Atwoli na tumbo lake.Soea hiyo sauti,soooeeeea hiyo sauti,soooooeeeeaaa hiyo sauti!!!! Hahaaa nampenda bure huyu atwoli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah ntammiss sana Atwoli na tumbo lake.Soea hiyo sauti,soooeeeea hiyo sauti,soooooeeeeaaa hiyo sauti!!!! Hahaaa nampenda bure huyu atwoli.
We jamaa hesabu za asilimia ulikimbia kipindi nini, sasa inawezekanaje mmoja apate 50%+1 afu mwingine apate 50%???50% + Kura MOJA HALALI.
Mfano
Total votes 1201
Cand 1 amepata 601
Cand 2 amepata 600
Ukiweka kwa % hao wote itasoma 50% but kuna mmoja hapo amepata 50% + Kura moja.
Tulia wewee na umpigie vigelegele Rais mpya Rutokama atwol atwoki humjui basi usijiite unaijua siasa za Afrika mashariki.
Period
Unafikiri hiyo ndio demokrasia? Hadi sasa raisi analazimisha mgombea wake ashinde. Mfumo ni wa digital, kura tokea jana zilishajulikana Ila wakaamua kustopisha media ili kufanya maneuverJambo moja la kushangaza juu ya uchaguzi huu wa Kenya ni kwa wakenya mpaka sasa hawajui nani atakuwa rais wao,ila kwa Tanzania,Uganda na Rwanda kwa chaguzi zao zijazo tayari washindi wanajulikana.
Duh.Babu kazimia huko nasikia.
Hakuna maneuver Kenya usipeleke mambo yenu ya shithole za kiccmUnafikiri hiyo ndio demokrasia? Hadi sasa raisi analazimisha mgombea wake ashinde. Mfumo ni wa digital, kura tokea jana zilishajulikana Ila wakaamua kustopisha media ili kufanya maneuver
Kwa nini mkuu?Mkuu kwa mwenendo ulivyo Ruto anachukua nchi bila marudio ya upigaji kura! Kuna uwezekano team ya Raila walifanya uongo mwingi kupitia media house anzia majuzi kwenye utoaji wa taarifa
IEBC wamefikisha 74% ya kuhesabu kura na Ruto yuko mbele kwa kura 600,000+ dhidi ya Odinga! Japo si nyingi ila naona Raila anachechemea mno huku Ruto akiwa 52.8% na Raila akiwa na 46.5%>Kwa nini mkuu?
Why should it be 50% + 1 then? Nadhani ingeandikwa 51% tu...Au 50% plus 1%?
Ambapo ndiyo mwanzo wa "ZAIDI YA ASILIMIA HAMSINI" hasa...
Una uhakika???RUTO AMESHINDA
Woyeeeeeeeeee!!!!!Cocastic Odinga [emoji16][emoji16][emoji16].
Songea oyee
Pole anza kunywa maji mengi presha iko kwa njia.Woyeeeeeeeeee!!!!!
Hizi data mnazitoa wapiIEBC wamefikisha 74% ya kuhesabu kura na Ruto yuko mbele kwa kura 600+ dhidi ya Odinga! Japo si nyingi ila naona Raila anachechemea mno huku Ruto akiwa 52.8% na Raila akiwa na 46.5%>
Hakuwahi kutumwa na Uhuru.Hivi ruto katika kipindi chote yuko kiongozi amewahi kuja tanzania?
Wewe ni mwendawazimuHakuna maneuver Kenya usipeleke mambo yenu ya shithole za kiccm
Aje atafute nini kwa wachawi? Ona Odinga uchawi wa chato umemponza.Hivi ruto katika kipindi chote yuko kiongozi amewahi kuja tanzania?