Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
50% + Kura MOJA HALALI.

Mfano
Total votes 1201
Cand 1 amepata 601
Cand 2 amepata 600

Ukiweka kwa % hao wote itasoma 50% but kuna mmoja hapo amepata 50% + Kura moja.
We jamaa hesabu za asilimia ulikimbia kipindi nini, sasa inawezekanaje mmoja apate 50%+1 afu mwingine apate 50%???

Kama hiyo moja ni sehemu ya 100% then kama kuna mmoja atapata 50%+1 then mwingine atapata 49.99%

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Jambo moja la kushangaza juu ya uchaguzi huu wa Kenya ni kwa wakenya mpaka sasa hawajui nani atakuwa rais wao,ila kwa Tanzania,Uganda na Rwanda kwa chaguzi zao zijazo tayari washindi wanajulikana.
Unafikiri hiyo ndio demokrasia? Hadi sasa raisi analazimisha mgombea wake ashinde. Mfumo ni wa digital, kura tokea jana zilishajulikana Ila wakaamua kustopisha media ili kufanya maneuver
 
Unafikiri hiyo ndio demokrasia? Hadi sasa raisi analazimisha mgombea wake ashinde. Mfumo ni wa digital, kura tokea jana zilishajulikana Ila wakaamua kustopisha media ili kufanya maneuver
Hakuna maneuver Kenya usipeleke mambo yenu ya shithole za kiccm
 
IEBC wamefikisha 74% ya kuhesabu kura na Ruto yuko mbele kwa kura 600+ dhidi ya Odinga! Japo si nyingi ila naona Raila anachechemea mno huku Ruto akiwa 52.8% na Raila akiwa na 46.5%>
Hizi data mnazitoa wapi
 
Back
Top Bottom