Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
50%+ votes.
 
Hata wao wenyewe wameshaanza kulalamika, au unaangalia channels zipi mkuu. KTN pundits wale maprofesa wamehoji sana kwa nini ghafla matokeo ya uraisi yamekoma kutangazwa na hao tume hawasemi kitu.

Kama ni hivyo si waendelee sasa kutoa hizo provisional results? Mbona media zote wamestop?
Nyinyi mnaangalia uchaguzi wa nchi gani na station zipi?

Updates za matokeo wametoka kutangaza sasa hivi, na isitoshe IEBC wapo makini na hukumu ya mahakama ya uchaguzi uliopita ukafutwa na mahakama IEBC haitaki dosari zile zijuridie kwenye uchaguzi huu.
 
Jaman si wamtangaze tyuuh Odinga huyu mzee, khaaah kura hizo walipiga bara zima? Khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hadi leo bado tyuuh, mzee ashakodi lorry la kubeba vitu kuhamia ikulu. Sasa mnacheleweshaa.
 
RUTO AMESHINDA
 
Cocastic Odinga [emoji16][emoji16][emoji16].
Songea oyee
 
Bado vituo kama 4,000 wewe

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…