Kagoma kutokea wapi wewe mjinga? Acheni mbambamba.Wewe ni mwendawazimu
Mimi nafatilia kila kinachotokea huku najua, Ruto AMESHINDA tokea jana ila raisi kagoma ndio maana unaona sarakasi zote hizo
Nina uhakika zaidi ya 100%, huo ni ukweli Kama ulikuwa umejiandaa na odinga nakupa pole. Wanachofanya Sasa ni delay tactics ili kupunguza tension japo raisi anataka kufanya maneuverUna uhakika???
Achana nao wapuuziHizi data mnazitoa wapi
Odinga huu ni uchaguzi wa 5 anagombea na mara zote anashindwa. Sababu zipo nyingi Ila kubwa ni hawataki mjaluo awe raisiAje atafute nini kwa wachawi? Ona Odinga uchawi wa chato umemponza.
Huna unalojuaKagoma kutokea wapi wewe mjinga? Acheni mbambamba.
We unajua nini? Kuchaguliwa ukarani wa sensa unajiona unajua?Huna unalojua
yawezekana asee. Niliwahi sikia baba yake na RAO mzee AMOLO ODINGA aliwahi achiwa nchi na mzee Jomo Kenyata alipokwenda ziara(matibabu) nje ya nchi asee mzee Jomo anarudi anakuta Amolo Odinga VP wake anapesa nyingi kiasi kwamba utajiri wa serikali ya Kenya na utajiri wa Amolo unatofautiana senti 6 tuu. Japo ni story za kwenye kahawa huwa siziamini ila jaluo ni watu wangu wa karibu kule kanda yetu maalum. Asee wale jamaa ukiwa unapiga nao mchongo au mishe yakupasa uwe macho sana. Unaweza uziwa mbuzi kwenye gunia.Odinga huu ni uchaguzi wa 5 anagombea na mara zote anashindwa. Sababu zipo nyingi Ila kubwa ni hawataki mjaluo awe raisi

Rais amegoma?? Tuondolee upumbavu wako hapa.Wewe ni mwendawazimu
Mimi nafatilia kila kinachotokea huku najua, Ruto AMESHINDA tokea jana ila raisi kagoma ndio maana unaona sarakasi zote hizo
Angalia usije kupigwa na strokeNina uhakika zaidi ya 100%, huo ni ukweli Kama ulikuwa umejiandaa na odinga nakupa pole. Wanachofanya Sasa ni delay tactics ili kupunguza tension japo raisi anataka kufanya maneuver
Odinga huu ni uchaguzi wa 5 anagombea na mara zote anashindwa. Sababu zipo nyingi Ila kubwa ni hawataki mjaluo awe raisi
Wanaleta habari za Tanzania ya Samia Kenya? Hebu ona yalivyo ya hovyo.Rais amegoma?? Tuondolee upumbavu wako hapa.
Wewe ni mwendawazimu
Mimi nafatilia kila kinachotokea huku najua, Ruto AMESHINDA tokea jana ila raisi kagoma ndio maana unaona sarakasi zote hizo
Kwahiyo umeshajumlisha yote hapo ulipo?Uongo unatoka wapi tena wkt matokeo yapo kwenye site ya uchaguzi kila mtu anaweza kujumlisha
Anaweza akaja akiwa raisAje atafute nini kwa wachawi? Ona Odinga uchawi wa chato umemponza.
Nimetest kudownload file la Constituence moja ni 800 Mb nimecancel mapema ππKwahiyo umeshajumlisha yote hapo ulipo?
Ooohh we subiri matokeo banah! Bado 74% ila Ruto kapanda % Now yuko 52.9%Hizi data mnazitoa wapi
JmnNimetest kudownload file la Constituence moja ni 800 Mb nimecancel mapema ππ
Teh teh teh ulisahau upo Tanzania ya mama Samia.Nimetest kudownload file la Constituence moja ni 800 Mb nimecancel mapema ππ