Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kama matokeo ndio kama haya tunayo yaona kwenye tv Ruto ndiye 5th president wa kenya labda kama hizi figure kwenye tv ni zile za kubumba Ngoja tusubiri maana bomas wanafAnya manual counting inawezekana kuna kitu nyuma ya pazia
 
Reported forms 34B.
Fomu 238 kati ya 291 (Diaspora/ Prisons inclusive) zimewasilishwa kwenye Public Portal.
Sasa ni uhakiki na utangazaji wa matokeo ngazi ya jimbo (Constituency).


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hao Jamaa ni asili Yao michongo alafu upstairs ni very smart ila kwenye kuharibu tu kwa wenzao na kutengeneza kwao.
Wanafujo sana hao ukikaa vibaya wanakuingiza mkenge mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…