Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atangazwe wakati hajashinda? Au wanataka kuuana?Chebukati tangaza Raila saa hii[emoji23][emoji1787][emoji23]
Hao Jamaa ni asili Yao michongo alafu upstairs ni very smart ila kwenye kuharibu tu kwa wenzao na kutengeneza kwao.Na usiombe ukamtapeli mjaluo. Asee jamaa wanaujua uchawi wale. Kuna jamaa alimtapeli mjaluo akabadilisha betri kwenye gari yake asee jamaa alivimbishwa tumbo asee hadi akafa.
Tajiri mmoja wa mitumbwi ya uvuvi aliwahi mtoa kafara mjaluo mmoja ambae alikuwa mvuvi wake aseee kilichomkuta hadi leo anasimulia. Mjaluo anapenda tapeli wenzake subiri atapeliwe yeye aseee mtafunga mtaaa
Wewe ndio upo kwenye semina, ni hasara mtu Kama wewe kuhesabu watuHalafu ntakufwata nikuchomoe kwenye hiyo semina ya sensa nikulambe makofi we msichana huna adabu
Teh teh te we binti mi ntakuchapa makofi.Wewe ndio upo kwenye semina, ni hasara mtu Kama wewe kuhesabu watu
Ni sawa na kuuliza Watoto huwa wanashughulika na masuala ya nyumbani. Tanzania ni Kama baba kwa wakenya, ni lazima tufatilie na kushughulikia na chaguzi zao wasije wakadhulumiana na kuuana Kama nzigeHivi na wakenya huwa wanashughulika na updates za uchaguzi wa hapa/wagombea wetu?
Elewa nachomaanisha kugoma haimaanishi aliyeshinda hatapata haki yake
Wakenya wanajiona ni wazungu😂🤣😂...Aseee Demokrasia ni mfumo wa kizungu ambao baadhi ya wazungu umewashinda..
Kali zaidi ni kutoka na sanduku la.kura mbioUngekua uchaguzi wa tanzania ungesikia sahivi mawakala wamepigwa stop kuingia ndani. Mara kuna mtu kaingia na ndoo iliyopigwa kura.
Polisi wavamia na kubeba sanduku la kura
Tayari mtu amepotea huko; na hii tuige pia.
Uchaguzi wetu hauhitaji update mgombea urais na mshindi wa 2025 anajulikana ni SamiaHivi na wakenya huwa wanashughulika na updates za uchaguzi wa hapa/wagombea wetu?