Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UPDATESUPDATES
Kenyatta atakutana na viongozi wote wapya waliochaguliwa kutoka chama cha Azimio kuanzia saa saa 4 asubuhi.
Rais anatarajiwa kuzungumzia Matokeo ya Urais ambayo bado hayajawasilishwa kikamilifu na kutangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC.
Haya yanajiri saa chache baada ya Katibu wa Idara ya Habari ya Mgombea Raila Odinga, Dennis Onsarigo kueleza kuwa leo mchana, Azimio la Umoja litafanya kongamano na viongozi wake waliochaguliwa.
Duuuh baada ya sifa nyingi,sasa wanarudi kwenye akili za mwafrika halisiUPDATES
MATOKEO KENYA: ALIYEJIITA WAKALA WA ODINGA AKUTWA NA FOMU ZA MATOKEO
Mwanaume mmoja aliyejitambulisha kama Wakala wa Mgombea Urais, Raila Odinga, amesababisha mzozo kwenye kituo cha kuhesabu Kura cha Runyenjes huko Embu baada kukutwa na fomu 34B na 37B kwenye gari yake.
Tukio hilo limetokea baada ya mawakala wa wagombea Ugavana kuzua tafrani walipobaini fomu hizo hazipo kituoni.
Baada ya kuhojiwa mwanaume huyo alisema yeye ni Wakala wa Odinga na aliletwa na Mwenyekiti wa Azimio la Umoja kutoka Kaunti ya Embu.
Hata hivyo Wakala wa Raila Odinga ambaye amekuwepo kituoni hapo siku zote alikana kumfahamu mtu huyo.
Na ahadi yake ya elimu Bure inasubiriwa sana.Odinga apite tu, amehangaika sana.
The true colors of "nyang'aus" on the display!!Duuuh baada ya sifa nyingi,sasa wanarudi kwenye akili za mwafrika halisi
Nimetamani kuuliza hili swali piaWafula Chebukati hajalala tangu siku zote hizo? Mbona yupo hapo Bomas saa zote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ahadi yake ya elimu Bure inasubiriwa sana.
Na itaaminikaje kuwa madai hayo si ya mgombea urais William Ruto ili kuzusha tafrani katika uchaguzi.Hapo ilipofikia Kikwete arudi nyumbani awaachie na vurugu lao.UPDATES
MATOKEO KENYA: ALIYEJIITA WAKALA WA ODINGA AKUTWA NA FOMU ZA MATOKEO
Mwanaume mmoja aliyejitambulisha kama Wakala wa Mgombea Urais, Raila Odinga, amesababisha mzozo kwenye kituo cha kuhesabu Kura cha Runyenjes huko Embu baada kukutwa na fomu 34B na 37B kwenye gari yake.
Tukio hilo limetokea baada ya mawakala wa wagombea Ugavana kuzua tafrani walipobaini fomu hizo hazipo kituoni.
Baada ya kuhojiwa mwanaume huyo alisema yeye ni Wakala wa Odinga na aliletwa na Mwenyekiti wa Azimio la Umoja kutoka Kaunti ya Embu.
Hata hivyo Wakala wa Raila Odinga ambaye amekuwepo kituoni hapo siku zote alikana kumfahamu mtu huyo.
Duuuh baada ya sifa nyingi,sasa wanarudi kwenye akili za mwafrika halisi
Huyu jamaa atakuwa na kazi ngumu sio mchezo..Wafula Chebukati hajalala tangu siku zote hizo? Mbona yupo hapo Bomas saa zote?
Sent using Jamii Forums mobile app
While I was typing I had something else in mindMkuu...hakuna sentensi isemayo;
1. Ruto is say...eidha iwe
A) Ruto says= husema
B) Ruto is saying=anasema sasa
Just that IS was typed wrongKimalkia hakija kaa sawa, lakini umeeleweka. ndiyo kujifunza, hakuna shida.