Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
WaLianza vizur wanakoelekea ni kubaya. Inaonekana uhuru hatak kumwachia nchi ruto na power inatumika kubwa kuzuia Hilo. Kwan kaz ya tume ni kutangaza matokeo hayo mengine waachie mahakama. Uhuru anataka kumuiga kibaki 2007, wakati moi 2002 kiroho safi alimwachia nchi kibaki japo Kuwa alikuwa Adui yake. Wakenya mnakaz na uhuru wenu Kwa kwwli. State machinery zipo kazin kuzuia ruto kushinda.
We jamaa kama huzijui siasa za Kenya ni bora usome kabla ya kuandika,unajua Mwai Kibaki alivyopata Urais wa Kenya?? unaposema Moi alimwachia sijui unamanisha nini?
 
Raila leads in 43 constituency's out 291 - Official results Kenya elections 2022 by the IEBC/ Matokeo rasmi uchaguzi mkuu Kenya 2022 kutoka Tume ya Uchaguzi ( IEBC)

Saturday August 13,2022
11:52 am

°WILLIAM RUTO

817,459 Votes. (38.47%)

°RAILA ODINGA
1,294,919 Votes
(60.93%)

°GEORGE WAJACKOYAH

8,467 Votes. (0.40%)



°DAVID WAIHIGA

4,352 Votes ( 0.20%)


Total votes tallied - 2,125,197
Constituencies reporting
43 of 291

The winner of presidential elections needs 50% + 1 of the valid votes cast and at least 25% votes in more than 24 counties
 
Kutoka kwenye vyanzo vya Wakenya, wanasema haya ndiyo matokeo ya Urais Kenya. Wenye macho hebu tusaidiane kusoma majina (pale juu chini ya asilimia).
 

Attachments

  • 1660381229757.jpg
    1660381229757.jpg
    89 KB · Views: 5
UPDATES

MATOKEO KENYA: ALIYEJIITA WAKALA WA ODINGA AKUTWA NA FOMU ZA MATOKEO


Mwanaume mmoja aliyejitambulisha kama Wakala wa Mgombea Urais, Raila Odinga, amesababisha mzozo kwenye kituo cha kuhesabu Kura cha Runyenjes huko Embu baada kukutwa na fomu 34B na 37B kwenye gari yake.

Tukio hilo limetokea baada ya mawakala wa wagombea Ugavana kuzua tafrani walipobaini fomu hizo hazipo kituoni.

Baada ya kuhojiwa mwanaume huyo alisema yeye ni Wakala wa Odinga na aliletwa na Mwenyekiti wa Azimio la Umoja kutoka Kaunti ya Embu.

Hata hivyo Wakala wa Raila Odinga ambaye amekuwepo kituoni hapo siku zote alikana kumfahamu mtu huyo.
UPDATES

MAHAKAMA KUU KUAMUA KESI YA ZUIO LA KUAPISHWA RUTO NA GACHAGUA


Mahakama Kuu imepanga Agosti 16, 2022 kutoa uamuzi wa kesi iliyofunguliwa na wanaharakati 11, kuzuia Kuapishwa kwa Mgombeaji Urais wa UDA William Ruto na Mgombea Mwenza Rigathi Gachagua ikiwa watashinda Uchaguzi.

Wanaharakati hao wanadai Gachagua hafai kushika wadhifa huo na uamuzi wa Ruto kumteua kuwa mgombea mwenza haukuwa halali, hivyo kushiriki kwao Uchaguzi ni kinyume cha sheria.

Mahakama hiyo ilikubali kusikiliza ombi la wanaharakati 11, ingawa tayari maafisa wa Kenya Kwanza na Tume ya Uchaguzi, IEBC wameitaka Mahakama kutupilia mbali ombi la wanaharakati hao.
 
While I was typing I had something else in mind
I do speak and write English well
And I know the tenses too well
It was an honest mistake
Sorry for that. .
why are you wasting your time to defend?! after all English is not your language/native.
speak kiswahili or kikuyu.
we all speak and write broken english b'cs we'r not native
 
Back
Top Bottom