mixx
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,307
- 8,077
Hivi ni nani ana Wabunge na Magavana wengi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni nani ana Wabunge na Magavana wengi?
Azimio japo wanapishana kidogo sana. Uwepo wa wabunge wengi si kigezo cha kushinda kiti cha uraisHivi ni nani ana Wabunge na Magavana wengi?
Si ndivyo CCM wanavyosali...fujo zitokee Kenya ili CCM ipate sababu ya kuendelea kuiba kura gizani kama siku zote. Matokeo yakiwa tayari hutahitaji darubini, utayapata popote ulipo hata usingizini. Machawa mna tabu.Acha kugombanisha Ndugu zetu wa Kenya.
Mzee aachane na siasa sasaDah Raila jamani mweee😭😭
kumbe wasiojulikana na KENYA wapo?Duuh yashakuwa haya tena?View attachment 2322766
Kiuchaguzi Kenya wako vizuri sanaSi ndivyo CCM wanavyosali...fujo zitokee Kenya ili CCM ipate sababu ya kuendelea kuiba kura gizani kama siku zote. Matokeo yakiwa tayari hutahitaji darubini, utayapata popote ulipo hata usingizini. Machawa mna tabu.
Tayari wameshapigana risasi,mbuge kapiga risasi msaidizi wa mbuge mwezake ,amefariki.Msimamizi wa kituo Nairobi,hajulikani alipo.Wengine,maofisa wa kituo,waliacha kituo na vifaa vya kura,wakakimbia.Mwengine katoa form nne kwa mpiga kura mmoja,wengine walikamatwa na gari yenye masanduku yamepigwa kura,machine nyingi za kupigia kira ni mbovu,zimerudishwa kwa tume.Malori mawili ya raia wa Uganda,kuja kupiga kura nkSi ndivyo CCM wanavyosali...fujo zitokee Kenya ili CCM ipate sababu ya kuendelea kuiba kura gizani kama siku zote. Matokeo yakiwa tayari hutahitaji darubini, utayapata popote ulipo hata usingizini. Machawa mna tabu.
Ha ha haaaa! Mwalimu wangu wa twuisheni hapa JF unaniangusha ujue.Machawa mna tabu.
sio kweli mzee Kitendawili ndo ngoma ngumu.Ruto ngoma ngumu aise
Ova
Haiwezi kuhalalisha ubora wa CCM hata siku moja! Vyovyote itakavyokuwa wenzetu wako mbele!Tayari wameshapigana risasi,mbuge kapiga risasi msaidizi wa mbuge mwezake ,amefariki.Msimamizi wa kituo Nairobi,hajulikani alipo.Wengine,maofisa wa kituo,waliacha kituo na vifaa vya kura,wakakimbia.Mwengine katoa form nne kwa mpiga kura mmoja,wengine walikamatwa na gari yenye masanduku yamepigwa kura,machine nyingi za kupigia kira ni mbovu,zimerudishwa kwa tume.Malori mawili ya raia wa Uganda,kuja kupiga kura nk
Uchaguzi haukosi changamoto... Lakini tumeona... dunia imeona...uchaguzi wa Kenya uwafundishe Watanzania jinsi ya kusimamia michakato yao!Tayari wameshapigana risasi,mbuge kapiga risasi msaidizi wa mbuge mwezake ,amefariki.Msimamizi wa kituo Nairobi,hajulikani alipo.Wengine,maofisa wa kituo,waliacha kituo vifaa vya kura,wakakimbia.Mwengine katoa form nne kwa mpiga kura mmoja,wengine walikamatwa na gari yenye masanduku yamepigwa kura,machine nyingi za kupigia kira ni mbovu,zimerudishwa kwa tume.Malori mawili ya raia wa Uganda,kuja kupiga kura nk
Mkuu kwa mujibu wa Reuters wakiuplod matokeo yatokanayo na Form 34B na sio Form 34A!Kuna kuwa reported na kuwa verified mkuu, verification ndio wanahakiki mawakala wa wagombea wote na kutangazwa rasmi, hapa ndio inakula muda
Kuna kuwa reported na kuwa verified mkuu, verification ndio wanahakiki mawakala wa wagombea wote na kutangazwa rasmi, hapa ndio inakula muda
Duh huyu atakufa na pressure aiseChebukati tangaza Raila saa hii[emoji23][emoji1787][emoji23]
Hizo kura Million 1 tangia majuzi zinasubiliwa haijukani ziko wapiSource: Click 2022 Kenya General Election
Akilala tu wase.nge wanapita na kombeWafula Chebukati hajalala tangu siku zote hizo? Mbona yupo hapo Bomas saa zote?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh huyu atakufa na pressure aise
Ova
Watapasuana hawa aise