Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Hivi ni nani ana Wabunge na Magavana wengi?
1660382156463.png
 
Si ndivyo CCM wanavyosali...fujo zitokee Kenya ili CCM ipate sababu ya kuendelea kuiba kura gizani kama siku zote. Matokeo yakiwa tayari hutahitaji darubini, utayapata popote ulipo hata usingizini. Machawa mna tabu.
Kiuchaguzi Kenya wako vizuri sana
 
Si ndivyo CCM wanavyosali...fujo zitokee Kenya ili CCM ipate sababu ya kuendelea kuiba kura gizani kama siku zote. Matokeo yakiwa tayari hutahitaji darubini, utayapata popote ulipo hata usingizini. Machawa mna tabu.
Tayari wameshapigana risasi,mbuge kapiga risasi msaidizi wa mbuge mwezake ,amefariki.Msimamizi wa kituo Nairobi,hajulikani alipo.Wengine,maofisa wa kituo,waliacha kituo na vifaa vya kura,wakakimbia.Mwengine katoa form nne kwa mpiga kura mmoja,wengine walikamatwa na gari yenye masanduku yamepigwa kura,machine nyingi za kupigia kira ni mbovu,zimerudishwa kwa tume.Malori mawili ya raia wa Uganda,kuja kupiga kura nk
 
Machawa mna tabu.
Ha ha haaaa! Mwalimu wangu wa twuisheni hapa JF unaniangusha ujue.

Mimi ni Pro-Tanzania. Nadhani hili unalijua. Tanzania Salama inahitaji majirani wenye amani. Huu ndiyo msingi wangu katika kuhakikisha kwa kadri ninavyoweza Tanzania inaendelea kuwa salama na ina amani.

Masuala ya vyama ni mambo ambayo yapo wazi. CCM ndiyo inaongaza nchi yetu Tanzania chini ya Mwenyekiti wa chama Mama Samia Suluhu Hassan. Watanzania waliimini ilani ya CCM ya mwaka 2020 ndiyo maana walikiweka chama Hiki madarakani.

Kwa hiyo, sisi raia hatuna namna nyingine zaidi ya kutekeleza maelekezo yaliyomi kwenye ilani hiyo kupitia Serikali yetu ya Sasa.
 
Tayari wameshapigana risasi,mbuge kapiga risasi msaidizi wa mbuge mwezake ,amefariki.Msimamizi wa kituo Nairobi,hajulikani alipo.Wengine,maofisa wa kituo,waliacha kituo na vifaa vya kura,wakakimbia.Mwengine katoa form nne kwa mpiga kura mmoja,wengine walikamatwa na gari yenye masanduku yamepigwa kura,machine nyingi za kupigia kira ni mbovu,zimerudishwa kwa tume.Malori mawili ya raia wa Uganda,kuja kupiga kura nk
Haiwezi kuhalalisha ubora wa CCM hata siku moja! Vyovyote itakavyokuwa wenzetu wako mbele!
 
Tayari wameshapigana risasi,mbuge kapiga risasi msaidizi wa mbuge mwezake ,amefariki.Msimamizi wa kituo Nairobi,hajulikani alipo.Wengine,maofisa wa kituo,waliacha kituo vifaa vya kura,wakakimbia.Mwengine katoa form nne kwa mpiga kura mmoja,wengine walikamatwa na gari yenye masanduku yamepigwa kura,machine nyingi za kupigia kira ni mbovu,zimerudishwa kwa tume.Malori mawili ya raia wa Uganda,kuja kupiga kura nk
Uchaguzi haukosi changamoto... Lakini tumeona... dunia imeona...uchaguzi wa Kenya uwafundishe Watanzania jinsi ya kusimamia michakato yao!
Bila woga!
Bila imani za reja reja kwa wanasiasa matapeli.
 
Kuna kuwa reported na kuwa verified mkuu, verification ndio wanahakiki mawakala wa wagombea wote na kutangazwa rasmi, hapa ndio inakula muda
Mkuu kwa mujibu wa Reuters wakiuplod matokeo yatokanayo na Form 34B na sio Form 34A!
IMG_20220813_123229.jpg

Kimuundo ndiyo form ambazo tayari zilishahakikiwa na matokeo yake kukubaliwa.

Reuters walikuwa sahihi kuliko ata vyombo vya Habari vingine ambavyo wao wakichukua matokeo ya Form 34A.
Kuna kuwa reported na kuwa verified mkuu, verification ndio wanahakiki mawakala wa wagombea wote na kutangazwa rasmi, hapa ndio inakula muda
 
Attachments

  • Screenshot_2022-08-13-12-31-04-90_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
    Screenshot_2022-08-13-12-31-04-90_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
    85.3 KB · Views: 6
Back
Top Bottom