CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
KARANI wa Sensa, anamtishia mtu mwenye maisha yake mjini. Hii nchi uhuru umezidi sasa. Mmeshalipwa posho zenu kwanza?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo dogo ana matatizo ya akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KARANI wa Sensa, anamtishia mtu mwenye maisha yake mjini. Hii nchi uhuru umezidi sasa. Mmeshalipwa posho zenu kwanza?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo dogo ana matatizo ya akili
IEBC wamefeli sana kwenye hili zoezi. Sasa hivi wanasema wanataka kutangaza raisi ikiwa wao hawajamaliza kujumuisha matokeo, ndio kwanza wapo 25%. Sasa watatangaza mshindi kwa matokeo ya wapi? Au Yale yaliyokuwa nayarushwa na media? Si waliyapiga stop?
Bora NEC mara mia kuliko hawa ambao hawajui hadi sasa wanasimamia nini. Kama mna mshindi wenu basi fanyeni wazi kuwa mna mshindi wenu kuliko hivi vituko
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kiherehere na hujui lolote, bahati Mbaya unaowasemea hata hujawahi fika na wala huna hata rafiki kutoka huko kwamba atakupa update sahihi. Kuna Wakenya humu kibao na wala hawana kiherehere kama chako.Uj
Unahangaika ukiwa wapi mrembo?? Nije nikupe huyu mdudu anayenisumbua.
Si kweli mkuuAzimio japo wanapishana kidogo sana. Uwepo wa wabunge wengi si kigezo cha kushinda kiti cha urais
Akili Yangu hahitaji Msaada wa mtu yoyote Ile mrembo. Endelea kunishobokea[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kiherehere na hujui lolote, bahati Mbaya unaowasemea hata hujawahi fika na wala huna hata rafiki kutoka huko kwamba atakupa update sahihi. Kuna Wakenya humu kibao na wala hawana kiherehere kama chako.
Sio kila kitu ni kuingiza ujinga wako.
Wasting/westing. Indeed I concur with you English is not our native language.why are you westing your time to defend?! after all English is not your language/native.
speak kiswahili or kikuyu.
we all speak and write broken english b'cs we'r not native
Sawa Boss ila haya yote yanatokana na IEBC kuchelewa kutangaza matokeo! Wakaacha watu wajumlishe yao.Mimi sijasema hawakuwa sahihi lakini ndio hivyo tena matokeo yao nayo yamesitishwa kutolewa
Sasa hivi ya tume pekee ndio yanatewa kwa kasi ndogo sana
Wamekuta kuna jimbo ruto mawakala walimuongezea kura 10,000....Tume imezifuta....wakikuyu ni wakabila sanaDuuuh ngoja tuone mwisho wa hizi mambo
View attachment 2322924
Huyu mzee siku moja KENYA imjengee sanam pale katikati ya jiji la Kenya, hakuna kipindi kigum anakipitia mpaka mda huu ikiwa ni pamoja na
Mimi niwe karani alafu kikaragosi kama wewe utakua nani?KARANI wa Sensa, anamtishia mtu mwenye maisha yake mjini. Hii nchi uhuru umezidi sasa. Mmeshalipwa posho zenu kwanza?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
I agree english is not my mother tongue, however I am fluent and I had to make it clearwhy are you westing your time to defend?! after all English is not your language/native.
speak kiswahili or kikuyu.
we all speak and write broken english b'cs we'r not native
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] MALIZA SEMINA KWANZA UJE USHINDANE NA WANAUME HUMU NDANI.Mimi niwe karani alafu kikaragosi kama wewe utakua nani?
Ndio kazi aliyoichagua hio,akaze kalio kazi imalizike.Huyu mzee siku moja KENYA imjengee sanam pale katikati ya jiji la Kenya, hakuna kipindi kigum anakipitia mpaka mda huu ikiwa ni pamoja na
1.vitisho
2.ushawishi hata pesa ndefu
3.wenda tangu uchaguzi kuanza hata kwakwe hajakanyaga, yani unakuta bed man,man bed, mswaki pale ,sabuni ya kuoga pale ,chakula anakula KWa ratiba mahalum na umakini wa wajuu Sana, na WENDA halipo haondoki Yuko pale na walinzi wa wakutosha yani , Mungu amlinde huyu mzee na kumpa maisha marefu, bila kujali nani Rais ajae na imekua ,asema Bwana
Huzaliwa wachache mkuu,na wapo ila fulsa ya kujulikana ndo huwa tabu, ila wapoNawakubali sana watu jamii ya Ruto, watata watata na wajanja wajanja, Huwa muda mwingi wako kimya lakini ni mabingwa wa kusukuma kete.
Hii vita ilikuwa kati ya Kenyata vs Ruto, wote watoto wa town, Odinga huu mziki wa Ruto peke yake hauwezi kabisa.
Sawa mkuu, weka ukweliSi kweli mkuu
Mkuu unaweza changua KAZI au teuliwa ila katika mazingira flani inakua kaburi au kitanzi ,all in all Mungu mwema,acha tu ,not simpleNdio kazi aliyoichagua hio,akaze kalio kazi imalizike.